NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.
Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.
Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.
Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.
Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.