Je Mwanadamu atafufuliwa akiwa na Umri Gani?

Kwa maelezo uliyotoa nataka kujua unaamini mungu yupo?? Au dunia imekuwepo tu bila sababu
Ukisema Mungu, kuna watu wanaelewa ni mti, wengine mawe, wengine milima, wengine jua, wengine sayari n.k. Kila mtu ana kitu anacho kimaanisha pindi usemapo Mungu.

Sasa ndo nimekuuliza unaposema Mungu una maanisha nini?
 
UMENENA NA UMEJIBU
 
Endelea kutoamin hivyo hivyo na kipindi cha Nuhu wakati anatengeneza safina ile,watu walimdhihaki ooh mvua yenyewe Niko wapi baadae cha mtema makuni walikiona...Yesu anarudi ndugu na kwa tayar kumbuka SAA ya wokovu ni sasa
 
Hivi unaamini kabisa kuwa mafuriko ya Nuhu yalikuwa kweli?
 
Hakuwa na maana hiyo.
 
Ndio,na acha kumpinga Yesu na neno lake huwez kulizuia mana ni linakimbia kuliko chochote
Hivi akili zako zinakutosha kweli?
Mimi nimeandika maoni yangu na nikatoa reference, nashangaa unakuja kubwabwaja maneno tu.
 
Hivi akili zako zinakutosha kweli?
Mimi nimeandika maoni yangu na nikatoa reference, nashangaa unakuja kubwabwaja maneno tu.
Naona umepanic ni wazi huna Roho wa Mungu bali Roho mchafu..Roho Mtakatifu akufunulie kwa wakati wake.Pia jua bible haisomwi only one verse tu..bible verses support each other,ka reference kako hako hakajisupot...Roho wa Mungu akukemee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…