Je, mwanamke aliyevaa mavazi ya heshima anaweza kupigiwa miluzi na wahuni barabarani?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Wakuu,

Kumekuwa na ubishani kati ya makundi mawili kuhusu mavazi wanayovaa wanawake. Kundi la kwanza linaunga mkono kwamba wanawake waachwe wavae kadri wanavyojisikia isipokuwa wanaume waache tamaa zao. Kundi la pili linasisitiza juu ya uvaaji wa heshima ili kuzuia tamaa za ngono kwa wanaume.

Kama wengi wetu tunavyofahamu, kuna uvaaji wa wanawake ambao umezidi kliwango kiasi kwamba hata anapopita mitaani, vijana wa kiume hupiga miluzi kuashiria jambo fulani. Swali langu ni je, mwanamke hata akiwa na umbo la kuvutia akivaa kwa heshima na kupita katikati ya vijana anaweza akapigiwa miluzi???
 
Ndugu
Mimi sitathubutu uvaaji wa nusu uchi hata siku moja, hata mtu aseme anaenda night club kujipumzisha nitamtofautishaje na malaya au changudoa???? Uvaaji wa nusu uchi sikubaliani nao hata kidogo, haijalishi unaenda wapi.

Nikirudi ktk point, uwezekano upo ila kwa sasa mi mdogo sana.
Ni mdogo kwa sababu hawa wanawake wenye maumbile ya kuvutia wapo wengi sana siku hizi, hivyo wamekuwa kitu cha kawaida kwa jamii ya sasa. Ila akivaa nusu uchi ndio miluzi itakuwa kama matarumbeta.
Na itakuwa ni haki yake
 
Mmh wanaovaa nusu wazi nao hawajafikia wengi kiasi chakuzoeleka????
 
Hivi unaweza kuishi agaist nature!?

Wanawake wameumbwa wakaumbika... Kwani ujuwi kabla ya kuumbwa Mama Hawa, Baba Adam alilazwa usingizi mzito ili asione vile M'Mungu anavyomuumba mwanamke na akampendezesha kimaungo, kisauti na kila idara?

Basi wanawake wasipo jistiri vema kila kukicha watakuwa waanga dhidi ya wale wenye kuwaangalia.
 
Nakumbuka mwaka 1942...wakati mama yangu akiwa msichana...hapauwepo vimini...wala viguo hivi vya kurushana roho,but mama alipata mwanaume shababi ambaye leo najivunia kumwita baba...my take hapa ni kwamba urembo bila kujidhalilisha unawezekana!
 
Kweli mtu anapewa heshima kadiri na anavyo jiheshimu mwenyewe. Mwanamke akivaa nguo yake ya heshima hawezi pigiwa milusi kama mwanamke mwenye kujivalia ki "just because". Pia inategemea nguo hizo anavalia wapi. Kuna ma eneo nguo hizo hazimshtui mtu na eneo zingine unaweza hata ukala kofi bila kujua limetoka wapi.
Ila kwa upande mngine umesema ni "wahuni" ndio wanapiga milusi. Wanaume wenye heshima zao wanaishia kuangalia na kupita njia zao.
Kwa kifupi responsibility iko pande mbili. Yule dada anae vaa nguo bila kucheki atatembelea wapi na pia huyo kaka anatomolea macho mwili wa watu bila kukumbuka kua kila mtu ana haki ya kuvaa anavyo taka yeye.
 
Mmh wanaovaa nusu wazi nao hawajafikia wengi kiasi chakuzoeleka????

Kama tunataka kutengeneza jamii itakayozoea uvaaji nusu uchi, basi tutengeneze na jamii itakayozoea matatizo ya uvaaji huo.
Umbile la mwanamke linafinyangwa na Mungu, na kazi ya Mungu haina makosa.
Uvaaji ni binadamu mwenyewe
 
huo wanatongozwa,lakini tongozwa yao huwa ya kiheshima zaidi.hawapigiwi miluzi
 
burka+afghan+women.jpg

Kivazi hiki poa kabisa....kutakuwa hakuna tatizo la kupiga miluzi au kelele za ajabu ajabu hata katika mitaa ya Kariakoo...Lizzy vipi unataka kutoa order yako? Maana kuna tetesi kwamba bunge litapitisha Sheria kwamba Wanawake wote wa Kitanzania (wenye umri wa miaka 15 kwenda juu) na Wageni nchini waanze kuvaa kivazi hiki ndani ya Tanzania kuanzia January 1, 2012 vinginevyo ni lupango ( hahahaha lol! I am just joking! 🙂 ) Imagine kwenda kucheza rhumba ukiwa umevaa hivi!?...kazi kweli kweli! LoL!
 
burka+afghan+women.jpg

Kivazi hiki poa kabisa....kutakuwa hakuna tatizo la kupiga miluzi au kelele za ajabu ajabu hata katika mitaa ya Kariakoo...Lizzy vipi unataka kutoa order yako?
Mkuu huoni kuwa haya mavazi ni ya utamaduni wa watu wa Afghanisatan?
 
Naelewa sana Mkuu lakini sidhani kama kuna ubaya wowote kuyatumia katika mjadala huu.
 
BAK ninunulie basi na mimi ili wakwere wakose chakuangalia!
 
hahahahaha lakini ulishaandika wengine wanakuvua nguo kwa macho kwa hiyo hata hii sijui kama itasaidia labda itapunguza kwa wale wasio na uwezo huo wa kuwavua Wanawake nguo kwa macho.

Huu ni mjadala mgumu kusema kweli maana Wanawake wengine hawakubali kabisa kuvaa mavazi yanayokubaliwa na wengi kama ni ya heshima. Kwa Mwanamke anaweza kabisa kuliona vazi lake ni la heshima lakini wengine wasione hivyo, sasa hapo ndiyo utata unapoanzia.
 
Navaa ili wale wasiotaka kuonyeshwa bila ridhaa yao waridhike!!
 
Uvaaji wenyewe ndio huu, alafu ukibakwa utasemaje?

227636_10150600434015525_544075524_18683031_1819843_n.jpg
 
Kavaa kimini, akaona watu hawampi attention, akaamua kuishusha nguo nyuma, akaona wanamwambia ". . . dadaa nguo imekuvuka nyuma" akaamua aishushe na kofia kabisa ili msg ieleweke, wakaamua kum-photoa na kumleta mtandaoni
 
burka+afghan+women.jpg

Kivazi hiki poa kabisa....kutakuwa hakuna tatizo la kupiga miluzi au kelele za ajabu ajabu hata katika mitaa ya Kariakoo...Lizzy vipi unataka kutoa order yako? Maana kuna tetesi kwamba bunge litapitisha Sheria kwamba Wanawake wote wa Kitanzania (wenye umri wa miaka 15 kwenda juu) na Wageni nchini waanze kuvaa kivazi hiki ndani ya Tanzania kuanzia January 1, 2012 vinginevyo ni lupango ( hahahaha lol! I am just joking! 🙂 ) Imagine kwenda kucheza rhumba ukiwa umevaa hivi!?...kazi kweli kweli! LoL!

Tatizo kuu la hili vazi linaweza kutumika ktk uhalifu, hata mwanaume anavaa.
 
Kumbe wahuni ndo tabia yao kuwapigia wanawake miluzi barabarani duh!!!,hakuna aina nyingine ya wana jamii tofauti na hao?aiseee.
 
Back
Top Bottom