Unaposema ipo active una maanisha na sehemu ya kuzalisha mbegu/manii(korodani) ipo? Au unamaanisha kupanda mlima tu?.
Sasa swali liko hapa yule mwanamke ambaye jinsia yake ya kiume ipo active huku ya kike ikiwa haifanyikazi anaweza kurutubisha yai la mwanamke mwenzake??
Kama hawezi kuzalisha mayai ya kike basi hawezi kupata mimbana je mwanamke huyu mwenye jinsia mbili anaweza akapata mtoto(mimba) ikiwa jinsia ya kike haifanyikazi??
Aisee Dunia ina mamboNilisimuliwa habari hii nikiwa mdogo. Kuna kijiji kimoja alizaliwa binti akiwa na jinsia mbili. Baba yake alikuwa ni wale waarabu wafanya biashara wa niaka hiyoo mama ni mswahili. Binti yule aliitwa Subira, na alilelewa kama msichana.
Maisha ya kijijini ni ya kwenda kuchota maji mtoni au kisimani. Wasichana jioni walikwenda kuoga pamoja.
Subira alipofikia umri wa balehe alianza kuwabaka wasichana wakiwa wanaoga. Watu walistuka watoto wa kichitora wakiongezeka kijijini.
Subira alifariki na aliacha watoto.
Nahisi amemaanisha uactive wa kutoa na sperms na vyote kwa ujumlaUnaposema ipo active una maanisha na sehemu ya kuzalisha mbegu/manii(korodani) ipo? Au unamaanisha kupanda mlima tu?
Kama hawezi kuzalisha mayai ya kike basi hawezi kupata mimba
Kama ni hivyo inahitajika jaribio ili tupate uhakika wa jambo hili.Nahisi amemaanisha uactive wa kutoa na sperms na vyote kwa ujumla
Hua nasikiaga tu hizo story sjui kama hua kuna ukweli wowoteKama ni hivyo inahitajika jaribio ili tupate uhakika wa jambo hili.
NB: Kwa kuzingatia vigezo na masharti yote
sawa mkuuInaitwa ambigous sex ila hawa watu wanafanyiwa uchunguzi mkubwa sana ili kubaini ni sehemu ipi ina nguvu na imekamilika zaidi alafu ile ya pili inadhibitiwa
Kwa maana hii hilo jambo ulilisema hapo juu haliwezekani maana ushasema kwamba ya kike haifanyi kazi.
Hivi haiwezekani mtu akiwa amezaliwa na jinsia mbili akaishi kwanza kama mwanaume na akapata watoto kwa kuingiliana na wanawake halafu akaja akaja akaishi kama mwanamke akapata watoto kwa kuingiliwa na wanaume?Nilisimuliwa habari hii nikiwa mdogo. Kuna kijiji kimoja alizaliwa binti akiwa na jinsia mbili. Baba yake alikuwa ni wale waarabu wafanya biashara wa miaka hiyoo mama alikuwa mswahili. Binti yule aliitwa Subira, na alilelewa kama msichana.
Maisha ya kijijini ni ya kwenda kuchota maji mtoni au kisimani. Wasichana jioni walikwenda kuoga pamoja.
Subira alipofikia umri wa balehe alianza kuwabaka wasichana wakiwa wanaoga. Watu walistuka watoto wa machotara wakiongezeka kijijini.
Subira alifariki na aliacha watoto.
Hivi haiwezekani mtu akiwa amezaliwa na jinsia mbili akaishi kwanza kama mwanaume na akapata watoto kwa kuingiliana na wanawake halafu akaja akaja akaishi kama mwanamke akapata watoto kwa kuingiliwa na wanaume?