Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
Habari za weekend..
Niende kwenye mada direct, swali langu linaenda moja kwa moja kwa wale wanawake wenye jinsia mbili, wengi wao watu hawa wenye jinsia mbili unawezakuta jinsia moja haifanyikazi au zote zikawa zinafanyakazi kwa pamoja.
Sasa swali liko hapa yule mwanamke ambaye jinsia yake ya kiume ipo active huku ya kike ikiwa haifanyikazi anaweza kurutubisha yai la mwanamke mwenzake??
na je mwanamke huyu mwenye jinsia mbili anaweza akapata mtoto(mimba) ikiwa jinsia ya kike haifanyikazi??
madam naomba uwe wa kwanza hapa kunijibu Sky Eclat
nawasilisha.