Mkuu usisikilize Hizo Stori za Paukwa Pakawa!
Mtu anaweza Kuwa Kuwa Na Jinsi Mbili lakini Hakuna Uwezekano Wowote Kuweza Kufanya Kazi Zote Mbili.
Ikifanya Kazi Ya KE basi Ya ME automatically haifanyi Kazi na Matu Huyu atahesabiwa Kuwa Ni Mwanamke.
Ikifanya Kazi ya ME basi ya KE automatically haifanyi Kazi na Matu huyo atahesabiwa Ni Mwanamme.
Haitowezekana Kuwa Mtu Mmoja Mwanamme Yeye na Mwanamme Yeye, Yani Anazaa na Anazalisha Kama Earthworms.
Kitu Hicho Kibaiologia (Science) Haiwezekano na Kiimani (Dini) pia Haiwezekani.