Je, mwanamke anaweza akampa mimba mwanamke mwenzie??

Je, mwanamke anaweza akampa mimba mwanamke mwenzie??

Mkuu usisikilize Hizo Stori za Paukwa Pakawa!
Mtu anaweza Kuwa Kuwa Na Jinsi Mbili lakini Hakuna Uwezekano Wowote Kuweza Kufanya Kazi Zote Mbili.
Ikifanya Kazi Ya KE basi Ya ME automatically haifanyi Kazi na Matu Huyu atahesabiwa Kuwa Ni Mwanamke.
Ikifanya Kazi ya ME basi ya KE automatically haifanyi Kazi na Matu huyo atahesabiwa Ni Mwanamme.

Haitowezekana Kuwa Mtu Mmoja Mwanamme Yeye na Mwanamme Yeye, Yani Anazaa na Anazalisha Kama Earthworms.

Kitu Hicho Kibaiologia (Science) Haiwezekano na Kiimani (Dini) pia Haiwezekani.
Kauli yako na isiwe ya mwisho katika hili mkuu

Nitaendelea kulifanyia utafiti zaidi kupata ushahidi wa kisayansi na pia wa kidini
 
Hivi haiwezekani mtu akiwa amezaliwa na jinsia mbili akaishi kwanza kama mwanaume na akapata watoto kwa kuingiliana na wanawake halafu akaja akaja akaishi kama mwanamke akapata watoto kwa kuingiliwa na wanaume?
Jinsia moja inakuwa na mhimili uliojikita zaidi ya nyingine
 
Back
Top Bottom