Meddick_Uwezo
Member
- Jul 21, 2018
- 54
- 27
Una mimba tayari... wahi klinikiHabarini wanajamvi naombeni elimu kidogo je, mwanamke anaweza hakakosa hedhi ndani ya mwezi??, Tatizo ni nini hapo nini kinasababisha mtu kukosa hedhi??
[emoji3][emoji3] acha kurusha bana mkuu nipe elimu aseeUna mimba tayari... wahi kliniki
Sawa mkuuAndaa pampas mkuu na lishe ya mtoto.
Ahsante kwa elimu , kumbe hilo ni tatizo la kawaida sanaInawezekana ikapita hata miezi minne.
Umri unachangia.
Uzazi wa mpango unachangia.
Kubadili mazingira kunachangia.
Dawa haswa steroids zinachangia.
Stress zinachangia.
Na mimba pia inachangia.
Elimu ndo hiyo mkuu wangu... mbegu za kiume zimefanikiwa kuingia kwenye via vya uzazi. Jiandae kulea...[emoji3][emoji3] acha kurusha bana mkuu nipe elimu asee