Je, mwanamke anaweza hakakosa hedhi ndani ya mwezi?

Je, mwanamke anaweza hakakosa hedhi ndani ya mwezi?

Meddick_Uwezo

Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
54
Reaction score
27
Habarini wanajamvi naombeni elimu kidogo je, mwanamke anaweza hakakosa hedhi ndani ya mwezi??, Tatizo ni nini hapo nini kinasababisha mtu kukosa hedhi??
 
Inawezekana ikapita hata miezi minne.

Umri unachangia.

Uzazi wa mpango unachangia.

Kubadili mazingira kunachangia.

Dawa haswa steroids zinachangia.

Stress zinachangia.

Na mimba pia inachangia.
Ahsante kwa elimu , kumbe hilo ni tatizo la kawaida sana
 
Back
Top Bottom