Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuizi vinawekwa wapi? Mimba inapatikana wapi?Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?