Omuzaile Member Joined Jan 23, 2019 Posts 34 Reaction score 56 Feb 5, 2021 #1 Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Feb 7, 2021 #2 Omuzaile said: Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)? Click to expand... Vizuizi vinawekwa wapi? Mimba inapatikana wapi?
Omuzaile said: Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)? Click to expand... Vizuizi vinawekwa wapi? Mimba inapatikana wapi?