Wanajamvi naomba mawazo na ushauri wenu,
Nina mdogo wangu alichaguliwa kwenda masomoni tarehe 15/11/2013, hivyo ilibidi amuache mke nyumbani, ilipofika tarehe 25/06/2014 mdogo alitumiwa ujumbe na mke wake kuwa ni mjamzito, mke wake alifafanua kuwa kwa kipindi chote alichokuwa hayupo hakuweza kugundua kama ni mjamzito kwani hata siku zake alikuwa anazipata kawaida ndiyo maana hakumtaarifa mapema ndipo alipopima siku hiyo ndiyo akagundua ni mjamzito.
Mpaka sasa mke wake hajajifungua.
- Je, ni kweli kuwa mwanamke anaweza asijue kuwa ni mjamzito kwa muda wote huo?
- Swali la pili tua-assume mimba aliipata siku alipoachana na mume wake 15/11/2013. Je, anatakiwa ajifungue lini? Mpaka sasa mke wake hajajifungua.