Je, mwanamke anaweza kupata ujauzito asijitambue hadi miezi sita?

Je, mwanamke anaweza kupata ujauzito asijitambue hadi miezi sita?

samike

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
609
Reaction score
236
Wanajamvi naomba mawazo na ushauri wenu,

Nina mdogo wangu alichaguliwa kwenda masomoni tarehe 15/11/2013, hivyo ilibidi amuache mke nyumbani, ilipofika tarehe 25/06/2014 mdogo alitumiwa ujumbe na mke wake kuwa ni mjamzito, mke wake alifafanua kuwa kwa kipindi chote alichokuwa hayupo hakuweza kugundua kama ni mjamzito kwani hata siku zake alikuwa anazipata kawaida ndiyo maana hakumtaarifa mapema ndipo alipopima siku hiyo ndiyo akagundua ni mjamzito.

Mpaka sasa mke wake hajajifungua.

- Je, ni kweli kuwa mwanamke anaweza asijue kuwa ni mjamzito kwa muda wote huo?

- Swali la pili tua-assume mimba aliipata siku alipoachana na mume wake 15/11/2013. Je, anatakiwa ajifungue lini? Mpaka sasa mke wake hajajifungua.
 
Inawezekana ajitambue hasa kama ni mimba ya kwanza, kuhusu muda wa kujifungua, chukua huo muda walioachana, ongeza miezi tisa lakini kumbuka kuwa huwezi kukadiria tarehe ya kujifungua ila juma unaweza kwa sababu huwa kuna plus or minus katika wiki moja moja au mbili kabla na baada ya tarehe kadiriwa. Ukiona imepungua anu kuongezeka mwezi au miezi jua mmeibiwa, na wewe unakubalije mdogo wako aibiwe na wewe ukiwepo.

Hata hivyo, ni vizuri kumaliza masomo haya ya kawaida kabla ya kuingia kwenye ndoa labda iwe further studies ila sio hizi za form six, shahada na na chi yake
 
Jibu limekaa vema. Calculate muda utapata hakika ya kilichotokea.
Inawezekana ajitambue hasa kama ni mimba ya kwanza, kuhusu muda wa kujifungua, chukua huo muda walioachana, ongeza miezi tisa lakini kumbuka kuwa huwezi kukadiria tarehe ya kujifungua ila juma unaweza kwa sababu huwa kuna plus or minus katika wiki moja moja au mbili kabla na baada ya tarehe kadiriwa. Ukiona imepungua anu kuongezeka mwezi au miezi jua mmeibiwa, na wewe unakubalije mdogo wako aibiwe na wewe ukiwepo. Hata hivyo, ni vizuri kumaliza masomo haya ya kawaida kabla ya kuingia kwenye ndoa labda iwe further studies ila sio hizi za form six, shahada na na chi yake
 
yaani jamaa kaondoka mwezi wa 11 then mwanamke hadi leo hajajifungua!? mbona kakaa na ujauzito approx. miezi 10 sasa.
NB. Mtoa mada kuna sehem nimeona neno 'mimba' asee hilo sio neno sahihi unapomzungumzia binadamu tumia "ujauzito" ndo linamashiko;
 
sawa nitarekebisha mkuu nitatumia neno ujauzito naomba isomeke hivyo
 
Nazani inawezekana manake mimi nina wifi yangu, mtoto wake wa pili alikuja kugundulika anaujauzito mimba ikiwa na miezi 7, na mtoto wa pili pia ikaja kugundulika ni mjamzito mwezi mmoja kabla ya kujifungua means mimba ilikuwa tayari na miezi 8
 
i mean mtoto wa tatu mimba iligundulika ikiwa na miezi 8
 
Mbona atakua amekaa mdamrefu na huo ujauzito alitakiwa ajifungue mwezi wa 7 au 8 .
Majanga!

Muacheni akishajifungua wakapime na mtoto.
 
je vipi kuhusu muda wa kupata ujauzito mpaka sasa hajajifungua, nipe uzoefu wako
 
duh, kachezwa huyo. kwa kawaida kuna baadhi ya wanawake huwa wanatokwa damu kidogo katika miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito, na damu hii ni ndogo sana (spotting) ambapo kama mama ana akili timamu basi atagundua hayo mabadiliko. mwezi wa nne kuendelea huwa hakuna damu, anything apart ftom that inaashiria tatizo(abortion etc.).

pili, kama mimba imetungwa tarehe 15/11/13, matarajio ni 22/08/13. (give-take 2weeks). kwa mantiki hiyo basi hii mimba ina wiki 43, na hakuna dalili za kukaribia kushusha mzigo kitu ambacho ni hatari kwa maisha ya kichanga tumboni,, unless ofcoz,, mimba hii ilitungwa mbele ya tarehe 15/11/13,, na kwa mantiki hiyo basi ina umri mdogo kuliko huu wa wiki 43.

So, baada ya haka kamjadala,, naomba uangalie uwezekano wa haya yafuatayo kutokea kwa pamoja, kwa mtu mmoja.
1. mimba kuingia siku ile mzee anaaga kwenda masomoni.
2. mimba kukaa mpaka miezi sita bila kutambulika kabisa (kwa dalili ama vipimo,, na kufunga siku pia,, na kukua tumbo kiasi).
3. mimba kukaa mpaka wiki 43 bila dalili yeyote ya kukaribia ama kuanza uchungu,, na mama mwenyewe muhusika katulia tuu bila kustuka. (kumbuka, kadi za klinik huwa na tarehe za matarajio na wamama huzifahamu).

za kwangu changanya na zako,, mkuyati 1.
 
ahsante Mkuyati,, hiyo tarehe 15/11/13 ni tarehe aliyoachana naye mme wake anayoikumbuka ambayo haina ubishi hivyo basi tume assume kuwa ndiyo tarehe ya mimba angalau kwa vile anasema siku za nyuma mke wake aliona siku zake kama kawaida...
 
nimekuelewa, hiyo tarehe ndio tarehe ya karibu kabisa ama tuseme ya mwisho kukutana mmewe. na makadirio yetu yote yanategemea tarehe hiyo,, coz tarehe nyingine yeyote nyuma ya hiyo inazidi kuleta mkanganyiko zaidi.
 
na mimba hukaa wiki kuanzia 38 mpaka 42,, ndio mda ambao wengi hujifungua ( kuna wengine hujifungua chini ya wiki 38 kwa sababu mbalimbali tofauti. ) lakini ni ngumu kufika wiki 43 ama zaidi maana ni shida kwa mtoto,, na wamama wanajua. lazima tu mama angeshachukua hatua kama mimba iko wiki 43 sasa,,,
 
kama had now bado.... hebu assume ana matatizo......... then take her into ultrasound......atapaata mwanga zaid .....coz pocbly baada ya hiyo tar hakunasa.....akachepuka ndi akapata kwa unkoun xo anaona ni bora astick kwa yule known...
 
Utata,ujauzito wa miezi mitano, mtoto lazima aanze kucheza.
1. Swali, hakugundua hili?
2. Mpaka leo hajajifungua, kwa hiyo tuna assume anatatizo, HAWAJAMPIMA ULTRASOUND?

Any way ".....walisha sema wazee wa zamani, kuchapiwa............"
 
Back
Top Bottom