Je mwanamke ataweza kupata mimba?

Je mwanamke ataweza kupata mimba?

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
201
Hello Doctor
Naomba kujua inawezekana mwanamke kama anapata hedhi kuanzia tarehe 16 mkakutana mwezi ujao tarehe tano anaweza kupata ujauzito?
 
Inawezekana au isiwezekane kutegemeana na mzunguko wa hedhi wa mwanamke, weka bayana mzunguko wa muhusika ni siku ngapi ili usaidiwe!
 
Back
Top Bottom