Delegate JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 331 Reaction score 201 Nov 20, 2015 #1 Hello Doctor Naomba kujua inawezekana mwanamke kama anapata hedhi kuanzia tarehe 16 mkakutana mwezi ujao tarehe tano anaweza kupata ujauzito?
Hello Doctor Naomba kujua inawezekana mwanamke kama anapata hedhi kuanzia tarehe 16 mkakutana mwezi ujao tarehe tano anaweza kupata ujauzito?
Mchoropa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 402 Reaction score 304 Nov 20, 2015 #2 Inawezekana au isiwezekane kutegemeana na mzunguko wa hedhi wa mwanamke, weka bayana mzunguko wa muhusika ni siku ngapi ili usaidiwe!
Inawezekana au isiwezekane kutegemeana na mzunguko wa hedhi wa mwanamke, weka bayana mzunguko wa muhusika ni siku ngapi ili usaidiwe!