Je mwanamke uko tayari?

Controller wako? Mambo ya Beijing hutaki eh?
 
Mkuu umesha pata tayari nini? na mm nataka nitumie njia hii hii kupata mchumba

mkuu ni mapema mno kusema nimeshapata. Wewe unaamini kwa njia hii ni rahisi kufanikiwa? Je kuna yoyote aliyesema amefanikiwa baada ya kutangaza JF? Coz nimeona post nyingi za hivi lkn sijaona walioleta feedback kama wamefanikiwa.
 
Wapo wawili walioleta feedback...mdada na mkaka!!!
 
Haya wale wapenda kuolewa kazi kwenu!!!

Shosti umeniboa kumbe kuolewa hivi ni issue sio?? Poleni ambao bado hamjaolewa sie tunataka hata kutoka humu ndani tuliko wengine wataka kuingia??? KUBAYA HUKU MSIJEEEEE
 
mhhh! sio kweli, mbona huwa sioni mtu akitoka bali anabaki kusema kubaya huku ameng'ang'ania?
 
hakuna kuachia thread mpaka kieleweke l.o.l

LOL hiyo sio mchezo, nikiona kimya sana itabidi nirudi mwanzo kupunguza vigezo kama vya umri, dini wenye watoto na walioachika yaani mpaka kieleweke mwaka huu huu 2011...........LOL
 
now thats the spirit!
 
LOL hiyo sio mchezo, nikiona kimya sana itabidi nirudi mwanzo kupunguza vigezo kama vya umri, dini wenye watoto na walioachika yaani mpaka kieleweke mwaka huu huu 2011...........LOL

ongezea ..AKUBALI KUPIMA lol
 
LOL hiyo sio mchezo, nikiona kimya sana itabidi nirudi mwanzo kupunguza vigezo kama vya umri, dini wenye watoto na walioachika yaani mpaka kieleweke mwaka huu huu 2011...........LOL

lol! Hakuna aliyekupm? Mmh! Hebu panga kamati kazi iwe rahisi.
 
mhhh! Sio kweli, mbona huwa sioni mtu akitoka bali anabaki kusema kubaya huku ameng'ang'ania?

we jaua_nyeupe mbona hujasema unamiliki nn na nn? Watu wengi tupo kimaslahi zaidi bana... Hahaaaaaaa...
 
maneno mengi lakini engagement ring la jaluo nyeupe mnalikimbia! Mhulumieni bana! Kaweka sredi wiki ya pili sasa bado bila bila. Dah!

klorokwini mi nimemwambia adeclare alichonancho ili nione kama naweza msaidia.
 
hehehe mpaka sasa amedeclare anamiliki e mail adress tu. mvumilieni labda anaekti kama edi murphy kwenye ile muvi kaming to amerika. huwezi jua pengine jaluo nyeupe ni family tree ya mzee moi.
 
hehehe mpaka sasa amedeclare anamiliki e mail adress tu. Mvumilieni labda anaekti kama edi murphy kwenye ile muvi kaming to amerika. Huwezi jua pengine jaluo nyeupe ni family tree ya mzee moi.

hahaa,unaweza kuta ye kwenye hiyo family tree ya moi yy ni ka undeveloped fruit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…