Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
hahahaaa kwa nini kama si mimi ndio nikuPM? huyo wa kwenye avatar hajakuvutia?
Mkuu umesha pata tayari nini? na mm nataka nitumie njia hii hii kupata mchumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa kwa nini kama si mimi ndio nikuPM? huyo wa kwenye avatar hajakuvutia?
mi sichagui kakangu ila nisichotaka ni MWANAUME MWENYE MBWEMBWE ,MAJIGAMBO,ANAYEJIBUST ...APANA
napenda mwanaume wa kawaida ..asiye na makuu ,wakawaida tu,anayevaaa simpo siyo manguo ya gharama sana apana ni kawaida tu cz i do believe mwanaume anayevaa masut daily pasipo sababu maalumu,anayevaa machen ,maviatu ya laki 5 namchululia km ana matatizo..napenda usafi na si mambo ya show off...
mwanaume kwangu ninamthamin kwa up stairs yake awe km;
..controler wangu
..director wangu
..advicer wangu
YAAN AWE KIMBILIO LANGU KWA CHOCHOTE NITAKACHOSHINDWA/UWEZO WANGU WA UBONGO UTAKAPOISHIA BAS ANIPE TAFU...n nt material thng..
sipend wanasesere au wanaojifanya km wametoka na kat ya kinshasa....m simple by nature so napendsa mwanaume simpo km mimi ..mimi sipak sjirembi ata poda sigusi iweje sasa men wangu awe abanduki dresssng trebo na mapoda kumi kumi ,wanja ,lip stk....ohhh no for that case nakuruhusu uniite nachagua sana bt MANJONJO BOY noooo apa hawana nafasi
Mkuu umesha pata tayari nini? na mm nataka nitumie njia hii hii kupata mchumba
mkuu ni mapema mno kusema nimeshapata. Wewe unaamini kwa njia hii ni rahisi kufanikiwa? Je kuna yoyote aliyesema amefanikiwa baada ya kutangaza JF? Coz nimeona post nyingi za hivi lkn sijaona walioleta feedback kama wamefanikiwa.
Mmmmhhh au we hupendi? ??hahahaa kwa hiyo tuanzie sebuleni kwanza?
Haya wale wapenda kuolewa kazi kwenu!!!
Shosti umeniboa kumbe kuolewa hivi ni issue sio?? Poleni ambao bado hamjaolewa sie tunataka hata kutoka humu ndani tuliko wengine wataka kuingia??? KUBAYA HUKU MSIJEEEEE
Wapo wawili walioleta feedback...mdada na mkaka!!!
Mmmmhhh au we hupendi? ??
bado ja turi. Sijui nitoe na picha kabisa labda maombi yatakuwa mengi mengi.
hakuna kuachia thread mpaka kieleweke l.o.l
LOL hiyo sio mchezo, nikiona kimya sana itabidi nirudi mwanzo kupunguza vigezo kama vya umri, dini wenye watoto na walioachika yaani mpaka kieleweke mwaka huu huu 2011...........LOL
Duuuuhhhh haya naona kama vile. .napenda.......lol
LOL hiyo sio mchezo, nikiona kimya sana itabidi nirudi mwanzo kupunguza vigezo kama vya umri, dini wenye watoto na walioachika yaani mpaka kieleweke mwaka huu huu 2011...........LOL
LOL hiyo sio mchezo, nikiona kimya sana itabidi nirudi mwanzo kupunguza vigezo kama vya umri, dini wenye watoto na walioachika yaani mpaka kieleweke mwaka huu huu 2011...........LOL
mhhh! Sio kweli, mbona huwa sioni mtu akitoka bali anabaki kusema kubaya huku ameng'ang'ania?
Duuuuhhhh haya naona kama vile. .
U can't handle the pressure? ???
lol! Hakuna aliyekupm? Mmh! Hebu panga kamati kazi iwe rahisi.
maneno mengi lakini engagement ring la jaluo nyeupe mnalikimbia! mhulumieni bana! kaweka sredi wiki ya pili sasa bado bila bila. dah!we jaua_nyeupe mbona hujasema unamiliki nn na nn? Watu wengi tupo kimaslahi zaidi bana... Hahaaaaaaa...
maneno mengi lakini engagement ring la jaluo nyeupe mnalikimbia! Mhulumieni bana! Kaweka sredi wiki ya pili sasa bado bila bila. Dah!
hehehe mpaka sasa amedeclare anamiliki e mail adress tu. mvumilieni labda anaekti kama edi murphy kwenye ile muvi kaming to amerika. huwezi jua pengine jaluo nyeupe ni family tree ya mzee moi.klorokwini mi nimemwambia adeclare alichonancho ili nione kama naweza msaidia.
hehehe mpaka sasa amedeclare anamiliki e mail adress tu. Mvumilieni labda anaekti kama edi murphy kwenye ile muvi kaming to amerika. Huwezi jua pengine jaluo nyeupe ni family tree ya mzee moi.