Rose, maty,michele, afrodenzi,husninyo nk nadhani bado mko single hamwezi jua kwanini mmejiungaJF huenda Mungu kapanga mtapata wachumba humu humu hivo jaribuni kupanga kukutana na huyu bwana.nawapa mbinu za kukutana. .unaweza kuwasiliana na huyu bwana mkutane pahala fulani grocery,bar au popopte pa wazi,jitambulishe umevaa vazi fulani na umekaa karibia na counter au meza ya mafichoni lakini usiwe umevaa vazi ulomwambia na wala usikae sehemu ulipomwagiza we kaa meza ambayo utamwona kila anaengia hapo bar ,weka simu yako vibration na iweke juu ya meza, na jifanye unasoma gazeti, wkt huyu bwana anakuja lazima atakupigia ajue kama ww ndo anakutafuta we angalia anaengia akizungusha zungusha shingo huku kashika simu atakuwa ndo yeye,kama ukimwona anafanana na Idd amin au pablo escobar basi sepa kimya kimya, kama ukimwona ana mweleko wa kueleweka basi mpungie mkono kiaina akufuate ulipo.hakuna kuogopa dada zangu.