Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Very old fashioned gentleman. One thing you have to understand is that women have feelings too and relations must be a two way street to enjoy it to the fullest
Mimi nameongea kisheria wewe unaleta hisia na mambo ya morality? Chaaa!
 
Isitoshe huo upuuzi wao haupo kisheria.Kwetu Afrika ukiolewa unalala bila chupi ukinifanya hutaki kupigwa pumbu unalazimishwa na hakuna kosa la kubaka hapo.Waache kuwa mavuvuzela
 
hamna ubakaji huo kulingana na imani za dini ila kisheria twaweza sema ndiyo ila ushahidi unapatikanaje?
 
Mambo ya kujamiiana ndani ya ndoa hayahitaji nguvu nyng, ukiona mwanandoa yyte analalamika kulazimishwa ngono na mme/mke wake basi ujue something is wrong in that marriage.
Nakubaliana na wewe.

Nimejaribu kutafakari sana tangu nilipoanza kusoma mada hii tangu kichwa cha habari. Nimeshindwa kabisa kuelewa dhana ya "marriage rape". Yaani sipati picha! Kivipi yaani! Eti mke aseme "amenibaka mume wangu" au mume "amenibaka mke wangu"!!!! Kweli? Katika hatua hiyo juwa hakuna upendo baina yao, hivyo frankly speaking hakuna ndoa hapo.

Yaani hata ninyi wanasheria fahamuni kuwa hadi kufikia mazigira hayo tambueni kwamba, kama mchangia alivyosema, ni kwamba should be something wrong.
 
Unawashauri upuuzi dada zako. Ukininyima tumbua lako nikamuomba mwingine akanipa utanilaumu kweli?? Msimezeshwe kila kinacholetwa. Huu ndio mwanzo wa migogoro kuongezeka katika ndoa
Hakika Mungwana umenena vyema.

Halafu wakipataga michepuko huko nje ndiyo viburi na jeuri vinahamia ndani.
 
Sidhani kama sheria ya "Marital rape" ipo Tanzania, wanasheria tusaidieni kwa hili. Kwani Mwingereza aliipitisha mwaka 1991.


Marital rape or spousal rape is the act of sexual intercourse with one's spouse without the spouse's consent. The lack of consent is the essential element and need not involve violence. Marital rape is considered a form of domestic violence and sexual abuse. Although, historically, sexual intercourse within marriage was regarded as a right of spouses, engaging in the act without the spouse's consent is now widely recognized by law and society as a wrong and as a crime. It is recognized as rape by many societies around the world, repudiated by international conventions, and increasingly criminalized.
 
Kwanini uolewe wakati hutaki kufanya tendo la ndoa?
Kukubali kuolewa ni sawa ni kuhalalisha tendo la ndoa, haya mambo ya kuiga iga mambo ya western countries kuna muda inabidi tuwe makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kufunga ndoa walikuwa wanachapana mpaka vitanda vinavunjika! Ila wakishakaa kwenye ndoa kwa muda, kuzaa, kuzoeana mno basi hii patashika lazima itokee tu?!
Ni shida kwa kweli...
 
Kabla hujajidai unajua haki za kutobakwa muulize mama yako "alishabakwa" mara ngapi na baba yako? Na kamshitaki mara ngapi? Na angemshtaki mara zote hizo unafikiri wangekuwa pamoja mpaka leo? Mzee angekuwa gerezani!! Weee nae ungekuwa hapo ulipo??

Mnakaririshwa tu pumbaffff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke Taanzania habakwi.Hiari yake huitoa Mara tu akikubali kuolewa.In halali kisheria mume kufanya naye tendo bila kumuomba.African jurisprudence iko hivyo.Mambo ya mume kumbaka mkewe yako Ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubaka ni kitendo cha mwanaume kumlala MTU make bila ridhaa yake.Africa ridhaa huangaliwa Siku ndoa ,Je MTU mke aliridhia kuwa mke wa huyo MTU mume? Kama jibu ni ndiyo basi mume hawezi kubaka maana mke alisharidhia siku ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwalisha tango pori.Kwanini uolewe kama hutaka kutoo....b....wa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume pekee ndo hubaka.Mwanaume anabaka habakwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wakati wa separation na divorce inategemea.Haiwezi kuwa ubakaji ikiwa tumefanyia katika mazingira yanayoakis kuwa tumekubaliana .Pia mila na desturi lazma ziangaliwe refer:R v.Mpagema Chalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo matango pori soma sheria vzr shida women are very quite hawataki kusema wala kushitaki make wanawaonea huruma lkn so matango pori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…