Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Ahsante kwa ufafanuzi na maelezo mazuri..hapo kwenye evidence nakubaliana na wewe kwamba siyo penetration peke yake can amount to rape...ila wale wanaosema eti usioge for the purpose of evidence , Je si wanaweza Pima hata mtu akishaoga? Au hakuna kipimo cha semen kuingia kama ambavyo kuna kipimo cha penetration?Asante ila naomba nikujulishe kuwa kuna vipimo vya kubaini kama kuna penetration. Vilevile penetration is not the only element or evidence of rape kuna circumstantial evidence kuna collaborative evidence na kuna the issue of consent...nnacho taka kusema nikuwa marital rape ipo, inatokea na kuna uwezo wakulibaini kisheria tatizo linakuja pale sheria yenyewe haitambui kabisa jambo hili. Tatizo lingine ni mawazo ya jamii kuwa mwanaume anayo haki juu ya mke wake bila kujali her consent.
Wanasheria na wabunge wakikaa pamoja na wananchi inawezekana kabisa kutengeneza parameters zitakazo ongelea marital rape kwa ufanisi ili sheria iweze kuchukua mkondo wake!
Kwenye issue ya sheria kuitambua ni suala la jamii kushirikiana na law makers na mahakama maana kuna dhana ya nina mamlaka juu ya mke wangu na pia wanawake ni kama wamelikubali bila kutambua Kuwa wana haki ya kuhoji...ila issue inakuwa ngumu pale sheria hailitambui. But kama litakuwa linatambulika kisheria basi na jamii ijue kwamba ni crime kama crimes nyingine...in short we need to educate the society first ili zile dhana za Nina mamlaka juu ya mke wangu na wanawake kulichukulia LA kawaida ziondoke kwanza.