indelible
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 652
- 299
AshaDii Tafsiri ya kubaka inamuondoa mwanaume kwenye uwezekano wa kubakwa kwamba ili tendo la kubaka ili liwe kubaka ni pale ambapo hiyari ya upande mmoja haipo! Sasa kwa mwanaume ambaye hana hiyari yake uume wake huwa ni vigumu kuamka!Ni nadra mume hubakwa. Ingawa ni kweli inawezekana. Tendo la ndoa linahusisha nani ana nguvu kati yenu, maana kubakwa kunakuja pale mmoja anapolazimishwa hadi kushiriki tendo kwa nguvu.
Ndani ya ndoa wanawake wengi hupoteza kuwa na hamu ya tendo la ndoa mara kwa mara, hasa baada ya kuzaa (ikichangiwa na pressure za majukumu), na hali wanaume hamu huwa pale pale.
CC: Biashara zote
Kwa hiyo basi ikiwa amelazimishwa mpaka kufikia uume kuamka basi kuna dalili za kuridhia hivyo anakuwa hajabakwa ila ameridhia.
Labda kama mbakaji wa kike atatumia toys kubaka mwanaume, tunaweza kuweka kwenye uwezekano huo.