Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Kwenye makubaliano hakuna ubakaji labda kama amekubali kubakwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishaolewa hamna kitu kama kubakwa... somebody owns you lol!!!
Navyoelewa ni ile hali ya ke kuingiliwa kimwili bila ridhaa yake either by genital au toys kwa lengo la kujifurahisha kingono.
La ndoa watakuja wengine walisemee.
Ndio maana wanatakiwa walale bila nguo.
indelible,
Unapozungumzia suala la kubaka ndani ya ndoa ni hali ile ya nwanaume kumlazimisha mke wake kufanya tendo la ndoa hali mkewe akiwa hayupo tayari au hajaridhia kufanya tendo hilo.
Kuna nadharia imejengwa katika jamii kwamba mke ni mali ya mume, lakini si kweli na si hivyo. Mke ni partner wako ambaye yapaswa mshirikiane kimwili na mengine kwa maridhiano toka pande zote mbili.
Hata hivyo tatizo huja pale ambapo mke hana hamu tena ya tendo la ndoa tokana na sababu mbali mbali kama vile; kuzaa mfurulizo, kuwa na kazi nyingi nyumbani na nje ya hapo nyumbani, kutojipanga vema katika shughuli zake hivyo kushindwa ku balance nafasi ya tendo la ndoa ndani ya ndoa, na mengine mengi.
Ninaamini waume wengi hawapendi wabake mke wake, walau basi amtekenye na walau kumgusa katika sehemu ambazo zitaamsha hisia kwa mke wake ili akubaliwe lile tendo. Bahati mbaya kuna wakati mke inafika hata haguswe vipi, akili yake kama haijakaa sawa psychologically ni ngumu kumpeleka mawazo yake huko. Tokana na kwamba wanaume uvumilivu ni mgumu kuliko mwanamke, inafanya wakati mwingine mume abake mke wake.
Katika hali hii inapotokea zaidi ya mara moja au mara kwa mara, ni vema sana wanandoa hao wakae na wazungumzie tendo la ndo na nafasi yake ili kuweza kujenga na kuimarisha ndoa hiyo.
Hayo ni mawazo yangu juu ya hili.
Pamoja Saana!
Ikifika hapo tu ndo huwa naona raha ya ndoa... zunguka kote ila jioni lazima utakileta!!!
Ha haa..tena hutumii nguvu nyingi wala nini.
Ikifika hapo tu ndo huwa naona raha ya ndoa... zunguka kote ila jioni lazima utakileta!!!
Na wewe si utapeleka bila kujali umezungukia wapi? Au haujui kwamba na wewe unaweza kubakwa? Namaanisha umechoka na haujisikii ila mwenzio anataka.
hahha nguvu za nini... ukikonyeza jicho tu anajua kitu tiari!!! ngoja nikazane kutafuta jiko
Na sanyingine hata ukitania tu mtu anakaa vizuri..Jitafutie mwaya. Uwahi kujipimia
Uwepo wako kwenye nyumba ya mwanaume maana yake wewe mkewe, sasa mtu anabakwa vipi ndani ya majukumu yake? Kweli waje watueleze, maana huu ni mzaha na mahari zetu
indelible,
Unapozungumzia suala la kubaka ndani ya ndoa ni hali ile ya nwanaume kumlazimisha mke wake kufanya tendo la ndoa hali mkewe akiwa hayupo tayari au hajaridhia kufanya tendo hilo.
Kuna nadharia imejengwa katika jamii kwamba mke ni mali ya mume, lakini si kweli na si hivyo. Mke ni partner wako ambaye yapaswa mshirikiane kimwili na mengine kwa maridhiano toka pande zote mbili.
Hata hivyo tatizo huja pale ambapo mke hana hamu tena ya tendo la ndoa tokana na sababu mbali mbali kama vile; kuzaa mfurulizo, kuwa na kazi nyingi nyumbani na nje ya hapo nyumbani, kutojipanga vema katika shughuli zake hivyo kushindwa ku balance nafasi ya tendo la ndoa ndani ya ndoa, na mengine mengi.
Ninaamini waume wengi hawapendi wabake mke wake, walau basi amtekenye na walau kumgusa katika sehemu ambazo zitaamsha hisia kwa mke wake ili akubaliwe lile tendo. Bahati mbaya kuna wakati mke inafika hata haguswe vipi, akili yake kama haijakaa sawa psychologically ni ngumu kumpeleka mawazo yake huko. Tokana na kwamba wanaume uvumilivu ni mgumu kuliko mwanamke, inafanya wakati mwingine mume abake mke wake.
Katika hali hii inapotokea zaidi ya mara moja au mara kwa mara, ni vema sana wanandoa hao wakae na wazungumzie tendo la ndo na nafasi yake ili kuweza kujenga na kuimarisha ndoa hiyo.
Hayo ni mawazo yangu juu ya hili.
Pamoja Saana!
AshaDii umesema vema sana mkuu, ila naona kama umeegemea upande mmoja. Ila nashukuru kwa hitimisho.indelible,

Wanaobakwa Ni wanawake tu wanaumwe hawabakwi?
Uzungu unakolea bongo hizi kesi za kubakana ndani ya ndoa zimezoeleka mbele tu sahizi zimeanza kuja na bongo