Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Kutokana na mazingira ya hapo juu hiyo si kubaka,
Sheria ya makosa ya jinai katika sehemu ya 130 ime elezea kubaka kama kitendo cha mtu kufanya mapenzi na mwanamke bila ridhaa yake

Lakini imeendelea kwa kusema kuwa mazingila hayo hayatokei kwa mume na mke
Hivyo basi mume hawezi kumbaka mkewe.

Sheria pia imeonyesha exception kwamba mume anaweza akachukuliwa amebaka kama kutakua na mgogoro na ikapelekea mke kuondoka kama mume atafanya mapenzi na mke wake kwa kipindi hicho bila ruksa itachukuliwa ame mbaka
 
Hivi wasio kwenye ndoa wanayo haki ya kujadili mambo yasiyowahusu?

Please Kaizer nisaidie kidogo hapa!!

Ha ha haa bwana arus hawez kujiandaa mbele ya kadamnas lazima aandaliwe saloon anapoingia ukumbini bas watu husema duu bwana arusi katokelezea!!!! kuna mambo muhim mtu lazma ayajue before getting married mkisubiri mtu ajifunzie ndan ya ndoa vilio katika ndoa havitaishaa by the way umri wangu unaniruhusu kuoa lakin ni vema nijifunze vya kutosha kwani sihitaji furugu kwa ndoa yangu asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuu,

Kustaafu kuna magumu yake aisee.....

Huyu Kaizer katorokea wapi??

Haki ya nani naweza kuahirisha kulala kwanza....

Ngoja nipate ruhusa ya bibi....

Mkuu Dark City umeona wajukuunwalivyo na michezo hatari hadi wamekufanyabukeshe na hizi kelele zimeniamsha

In fact atoto tunabakana tu hakuna shida mwenyewe ndo anapenda anaita instant love making eti
 
Last edited by a moderator:
samahani vipi sheria inasemaje kwa mume anayepotea njia kwa nguvu na kutumia mlango wa uwani?!

hilo n kosa, sema n ngumu kuidhibtisha kijinai, kwan hamna mashahid.
ingawa wanawake wengi wanaitumia km sababu yakuomba talaka.
 
Ubakaji Mimi nadhani huwa upo mwanzoni tu, ila baadaye mwanamke/au mwanaume huanza kusikia utamu na kufuta kosa la mwanzo, wote huenjoy na mwishoni hamna kesi, ingekuwa ni ubakaji nadhani ndoa zote jinsia zote wana kesi ya kujibu
 
Mimi huwa simbaki badala yake nagonga michepuko akinistukia mwenyewe anaanza kuwa mpole
 
Yes huko ni kubaka kubaka tafsili yake ni kulazimisha ndio maana hata wale wazee wa roba za mbao wanaitwa vibaka, unaweza ukashitakiwa? Ndio kwa mjibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 77, unashtakiwa na unakwenda jela sema tu tunaogopa kutengwa na jamii iliyotuzunguka maana ni aibu eti baba John kafungwa kafungwa kwa kosa la kumbaka mama John, sasa sikilizia John akikua
 
Mkuu Dark City umeona wajukuunwalivyo na michezo hatari hadi wamekufanyabukeshe na hizi kelele zimeniamsha

In fact atoto tunabakana tu hakuna shida mwenyewe ndo anapenda anaita instant love making eti

Ningekuwa napenda ningelalamika kwa babu? Halafu usiseme "tunabakana" wakati wewe ndio unanibakaga.
 
Last edited by a moderator:
Mke anabakwaje.?? Hawa wakina mama wanaharakati wanatuharibia sana mila.

Na bao la kulazimisha kwa nguvu kwa mke ndio tamu.
 
Wasalam

Kuna hii hali ya kula vyako then wanaibuka wadau na kulalama eti ooh, kuna idadi kubwa ya walioolewa kubakwa kila siku na waume zao. Sasa najiuliza aina hii ya ubakaji imepitishwa?...kama la! mbona hakuna kesi mahakani kwa swala hili? Au kesi hizi huishia kwenye makongamano tu?


Ebu wadada watupe ukweli hapa huwa inakuwaje?.

Na kina baba wenye roho ngumu za kukiri mjitokeze!

Nawakilisha.
 
1. Nini maana ya kubaka.
2. Nini maana ya ndoa.

Ngoja wadada waje wajibu na shuhuda
 
Uwepo wako kwenye nyumba ya mwanaume maana yake wewe mkewe, sasa mtu anabakwa vipi ndani ya majukumu yake? Kweli waje watueleze, maana huu ni mzaha na mahari zetu
 
1. Nini maana ya kubaka.
2. Nini maana ya ndoa.

Ngoja wadada waje wajibu na shuhuda
Navyoelewa ni ile hali ya ke kuingiliwa kimwili bila ridhaa yake either by genital au toys kwa lengo la kujifurahisha kingono.

La ndoa watakuja wengine walisemee.
 
Back
Top Bottom