jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Natumaini nyote mu wazima...na mna-enjoy vema weekend hii
Wakuu nimeona niwashirikishe jambo hili ambalo kwangu limenipa utata kwa mda kitambo.
Kuna kipindi tulikuwa tukibishana na rafiki yangu kuhusu neno KUBAKA na vile linavyotumika nikiachana na hili...Katika jamii zetu kuna baadhi ya wanawake hufikia hatua ya kugoma kutoa unyumba kwa sababu fulan fulani pengine labda mume kashindwa kutekeleza jambo fulani kwa mkewe bas inapelekea mke kumnyima mumewe tendo hilo la ndoa mpaka pale mumewe atakapotekeleza(binafs sijui kama mke kufanya iv ni saw)
Lakini pia migogoro ndani ya ndoa hupelekea mke wakat mwingine kumchukia mumewe na kukosa raha nae na hata kutojisikia kufanya tendo la ndoa na hasa ukizingatia tendo la ndoa huusisha ufahamu/hisia.
Lakini pia wapo wanawake hufanya hivi kimaksudi kwa lengo tu watendewe wanayoyataka jamani wanawake acheni mambo hii!!!!!
Lakini pamoja na hayo kwa mume wakati mwingine humuwia vigumu kukubaliana na uamuz wa mkewe na hasa pale ambapo jambo hilo huwa la mda mrefu(kunyimwa unyumba)..hali hii wakat mwingine humfanya mwanamume ashindwe kuvumilia na kutumia nguvu(force) mpaka kieleweke japo hisia za mwanamke huwa haziko tayari.
Sasa swali linakuja hapo.
Je tendo hilo la mwanamume kutumia nguvu ya kutaka apewe tendo la ndoa kutoka kwa MKEWE bila mke kuwa na ridhaa ni sawa na KUBAKA na je tusemeje hapo kwamba Mume kambaka mkewe?
Na je kama kabaka anawezachukuliwa hatua.??
Au kuna neno gani linatumika hapo badala ya neno kubaka?
Karibuni wakuu tupanuane uelewa.
Nawasilisha....
Jboy