Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sheria za Tanzania marital rape haipo.Ndoa ni hiari ya tendo la ndoa, kosa la kubaka linatokana na kukusa hiari kwa mwanamke, hivyo hakuna kubaka wawili wakiwa kwenye ndoa labda kama wametengana.
Tunabakwa kila siku na hatusemi (naomba mungu my huby asisome hapa BE)
Sheria inayotumika ni hii hii ya kawaida ya kubakana ila tatizo kwetu sisi ni mwanamke gani yupo tayari kwenda kusimama kizimbani kumshitaki mumewe kambaka?
Ila watafiti wanasema wanawake waliomo kwenye ndoa wengi wanabakwa na waume zao!!
Kwa mfano mwanaume katoka huko na mipombe yake saa saba za usiku kakuta mkewe kalala then kamkurupua usingizini bila hata ya kumuandaa anaanza kulazimisha tendo........huo ndiyo ubakaji ndani ya ndoa brooo!!! Kwa sababu tendo la ndoa ni maandalizi ndugu yangu!!
Ukimfanyia hivyo mkeo, akaenda polisi kutoa maelezo akapewa PF3 na kwenda hospital na daktari akaconfirm kwamba kweli anamichubuko inayotokana na kulazimishwa tendo la ndoa na akakusimamisha kizimbani umembaka!!! Loh!! Unakwenda jela miaka yako kadhaa kama wabakaji wa kawaida tu!!
Wachangiaji wengi wameonyesha kwa ubakwaji kwa akina mama ktk ndoa upo. Lakini hakuna aliyenifafanulia iwapo na mume anaweza kubakwa na mke katika ndoa au la! Na vipi sheria inasema nini kuhusu hili? Au inawapendelea akina mama peke yao? Je mwanaume akibakwa na yeye niende polisi kupata PF3 aende kwa daktari?
Mahari ni tooeeh. Tena dume kadha tu naja home nina hamu na tunda tena haswa apo na kama wik sija kugusa eti we una nijibu fyoko fyoko sitaki kuguswa we we unazani nita acha kukubaka kweli dah. Liwalo na liwe nakubaka na ukileta ugumu vitanzi apo apo una kula.
Nafikiri mume kubaka ni pale anapolazimisha tendo wakati mke hayupo tayari
Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa mwanamke anaebakwa na mumewe mara nyingi anaamini kuwa wanawake wote wanabakwa. Nina ndugu anabakwa na mumewe daily. Anakiri hajapata orgasm for the past 5 years (nahisi ya mumewe manake siamini kama hana affair aisee).
hii sheria ni muhimu saaa. Mwanaume wa kweli furaha yake ni kuona mwanamke anafurahia tendo. Tena mwanaume wa kweli akiona mwenza hafurahii yuko tayari kukatisha mechi na kujadili mbinu mbadala.
Usiongelee tu alietoka kwenye pombe na kuparamia mke. Kuna anaetoka atokako, anampiga mkewe na kulazimisha tendo. Na wanawake badala ya kuchukua hatua, anaamua kuwa na affair amanake mapenzi hayapo hapo. Well, binafsi labda nisingeenda mahakamani, lakini seriously nitamuacha. Tena tendo la kubaka halitafanikiwa manake nitamtukana hadi kibamia kita-cease!
Statistics has it that 64% of married women in United states are raped everyday. Assumption is there is always no consent when it comes to sexual intercourse. Reasons for this is fatigue from daily works that one fails to give consent and as a result ending up in pleasing the spouse rather than participating in the act.
I hope when you understand the word consent you can be able to deduce that even men are prone to be raped.
Hata kwa kuku mtamu kuna kubaka?Haya mambo bwana aah!
mhh! Kwa tanzania bwana hii haipo. Kama tutachukulia wikipedia kama source ya information, tanzania inatambua marital rape pale mume na mke wanapokuwa wametengana.
marital rape - wikipedia, the free encyclopedia
next time dena mpe tu kwa raha zenu....
wewe haswaaaa??? labda kama siku hiyo Kaizer (kilaji) kakufanya kitu mbayaaaaa.