Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahhhh
Mie nadhani kubaka
Ni kumlazimisha mtu kufanya ( sex) bila
Hidhini yake..
ukigombana na mke wako
akawa amukununia,halafu ukatumia ubabe ku sex nae
hapo ndi kubaka
mwanamme hawazi kumbaka mkewe kama bado wako kwenye ndoa, labda wawe wametengena kwa muda (ambayo hua ni miaka 3) wakisubiri divorce. ila kama ndoa inaendelea, hata kama mwanamke hataki bwana akizidiwa akamlazimisha sheria ya tz haitambui hilo kama ni kubaka....ila sheria za nchi za nje huo ni ubakaji.....ndio maana wazungu anaweza kuamua tu kutofanya mapenzi hata mwezi akiamua...lakinini hapa sisi wabongo tuna raha hiyo sheria haipo kwetu, manaka wanawake wetu hawa na jenda zao hizi wangetuonea sana..
Kwahiyo ungeomba link bila hayo mengine usingepata ama?!Ingekua hivo basi hata ukimwi usingekua unaongelewa leo,...au hili gazeti lisingetoa habari hii leonimejitahidi kutafuta kabla ya kuanzisha hii,...nipe link
lakini si mkeo?
imeandikwa kwenye mithali,..."unywe maji ya chemchem ya kisima chako mwenyewe",...
kama ndo hivi mbona itakua ngumu kuoa sasa,...
yaani nimtongoze mke wangu tena?
asemeje?
ngoja nifikirie?haha duh mnakazi mlio oa kama ndo hivo
Kwahiyo ungeomba link bila hayo mengine usingepata ama?!
hata kama mkeo,ubabe wa nini??????
kama kakasirika,muacha hasira ziishe...
kwani usipo sex kwa siku moja au mbili utakufa???
mpe haki ya kurudisha moyo wake kwako
baada ya hasira kumuisha.....
mwisho sex na mtu anae participate ndo tamu.
kuliko ya kumlazimisha mtu...
Dahhhh
Mie nadhani kubaka
Ni kumlazimisha mtu kufanya ( sex) bila
Hidhini yake..
Nakumbuka Mbu alisema kuna mstari mdogo sana unaotofautisha kubaka na kutobaka
Unakubaliana na mtu unaenda nae mpaka kitandani, mmepeana mabusu, mmeshikana hapa na pale, mnavua nguo ghafla mwenzako anasema hataki . . . . .
Mimi ninayeandika hapa ni mwanasheria wa hapahapa bongo. mwanamke hawezi kumbaka mwanaume katika sheria za tz.... hata kama sio mme wake. mwanaume pia kisheria za tz hawezi kumbaka mkewe aliyeko kwenye ndoa, labda kama wako kwenye separation wakisubiria divorce... soma sospa(sexual offenses special provisons Act ya 1998 ambayo iliamend sexual offenses za penal code).... utapata kuelewa vizuri....hawa wamesema "wanaume" wanabaka wake zao,....wako kwenye ndoa,...
je,inawezekana mke kumbaka mme wake kama ndo hivo?
Safi sana speaker!Ingekua hivo basi hata ukimwi usingekua unaongelewa leo,...au hili gazeti lisingetoa habari hii leonimejitahidi kutafuta kabla ya kuanzisha hii,...nipe link
Dahhhh
Mie nadhani kubaka
Ni kumlazimisha mtu kufanya ( sex) bila
Hidhini yake..
kwa kawaida unachosema ni kweli, lakini kisheria, si kweli. na neno kubaka ni neno la kisheria si la kikawaida...nimekwambia kasome sospa(sexual offenses special provisions Act 1998), nenda tu kwenye website ya bunge utaipata hiyo document uisome utaelewa ninachosema..Hute naomba nitofautiane na wewe kidogo
Mwanaume anaweza kumbaka mke wake pale atapomlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. Huwa inatokea wakati labda hata mume amelewa anamlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. So suala la mwanaume kumbaka mke wake lipo. Au kipindi ambacho labda mwanammke amejifungua mume anamlazimisha kufanya sex huwa inatokea kubaka. Ukisoma Sospa utaona vifungu ambavyo vinasema wazi kuwa mume anaweza kumbaka mke wake
ndio maana yake na hata awe mume wa ndoa akikulazimisha amekubaka.DahhhhMie nadhani kubakaNi kumlazimisha mtu kufanya ( sex) bila Hidhini yake..