Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Ukigombana na mke wako
Akawa amukununia, halafu ukatumia ubabe ku sex nae
Hapo ndio kubaka
 
Mwanamme hawazi kumbaka mkewe kama bado wako kwenye ndoa, labda wawe wametengena kwa muda (ambayo hua ni miaka 3) wakisubiri divorce. Ila kama ndoa inaendelea, hata kama mwanamke hataki bwana akizidiwa akamlazimisha sheria ya tz haitambui hilo kama ni kubaka, ila sheria za nchi za nje huo ni ubakaji

Ndio maana wazungu anaweza kuamua tu kutofanya mapenzi hata mwezi akiamua...lakinini hapa sisi wabongo tuna raha hiyo sheria haipo kwetu, maana yake wanawake wetu hawa na jenda zao hizi wangetuonea sana..
 
ukigombana na mke wako
akawa amukununia,halafu ukatumia ubabe ku sex nae
hapo ndi kubaka

lakini si mkeo?
imeandikwa kwenye mithali,..."unywe maji ya chemchem ya kisima chako mwenyewe",...
kama ndo hivi mbona itakua ngumu kuoa sasa,...
yaani nimtongoze mke wangu tena?

asemeje?
ngoja nifikirie?haha duh mnakazi mlio oa kama ndo hivo
 
mwanamme hawazi kumbaka mkewe kama bado wako kwenye ndoa, labda wawe wametengena kwa muda (ambayo hua ni miaka 3) wakisubiri divorce. ila kama ndoa inaendelea, hata kama mwanamke hataki bwana akizidiwa akamlazimisha sheria ya tz haitambui hilo kama ni kubaka....ila sheria za nchi za nje huo ni ubakaji.....ndio maana wazungu anaweza kuamua tu kutofanya mapenzi hata mwezi akiamua...lakinini hapa sisi wabongo tuna raha hiyo sheria haipo kwetu, manaka wanawake wetu hawa na jenda zao hizi wangetuonea sana..

hawa wamesema "wanaume" wanabaka wake zao,....wako kwenye ndoa,...
Je, inawezekana mke kumbaka mme wake kama ndIo hivo?
 
Ingekua hivo basi hata ukimwi usingekua unaongelewa leo,...au hili gazeti lisingetoa habari hii leonimejitahidi kutafuta kabla ya kuanzisha hii,...nipe link
Kwahiyo ungeomba link bila hayo mengine usingepata ama?!
 
lakini si mkeo?
imeandikwa kwenye mithali,..."unywe maji ya chemchem ya kisima chako mwenyewe",...
kama ndo hivi mbona itakua ngumu kuoa sasa,...
yaani nimtongoze mke wangu tena?

asemeje?
ngoja nifikirie?haha duh mnakazi mlio oa kama ndo hivo

Hata kama mkeo, ubabe wa nini?
Kama kakasirika,muacha hasira ziishe...

Kwani usipo sex kwa siku moja au mbili utakufa?

Mpe haki ya kurudisha moyo wake kwako
baada ya hasira kumuisha.....

Mwisho sex na mtu anae participate ndo tamu.
kuliko ya kumlazimisha mtu...
 
hata kama mkeo,ubabe wa nini??????
kama kakasirika,muacha hasira ziishe...
kwani usipo sex kwa siku moja au mbili utakufa???

mpe haki ya kurudisha moyo wake kwako
baada ya hasira kumuisha.....

mwisho sex na mtu anae participate ndo tamu.
kuliko ya kumlazimisha mtu...

Kuna ulazima wa kuoa wake wawili kwa hali hii,...
Nahisi ndio maana na makahaba hawaishi mjini maana
Ndio kipozeo cha wale walio chuniwa na wake zao
 
Dahhhh
Mie nadhani kubaka
Ni kumlazimisha mtu kufanya ( sex) bila
Hidhini yake..

Nakumbuka Mbu alisema kuna mstari mdogo sana unaotofautisha kubaka na kutobaka
Unakubaliana na mtu unaenda nae mpaka kitandani, mmepeana mabusu, mmeshikana hapa na pale, mnavua nguo ghafla mwenzako anasema hataki . . . . .
 
hahaha,ukilazimisha umebaka duh hakyanani,...
 
hawa wamesema "wanaume" wanabaka wake zao,....wako kwenye ndoa,...
je,inawezekana mke kumbaka mme wake kama ndo hivo?
Mimi ninayeandika hapa ni mwanasheria wa hapahapa bongo. mwanamke hawezi kumbaka mwanaume katika sheria za tz.... hata kama sio mme wake. mwanaume pia kisheria za tz hawezi kumbaka mkewe aliyeko kwenye ndoa, labda kama wako kwenye separation wakisubiria divorce... soma sospa(sexual offenses special provisons Act ya 1998 ambayo iliamend sexual offenses za penal code).... utapata kuelewa vizuri....

However, kuna matukio kibao hata sisi wanasheria yanatusumbua, kwa mfano, kuna wamama au wadada watu wazima wengi tu wanawalazimisha watoto wa kiume wa miaka hata chini ya 15 kufanya nao ngono...pia kuna mmama tulishawahi kumkamata anamlazimisha mtoto wa miaka mitano kumlamba k, mtoto alikuwa anamlamba au kumnyonya mara kwa mara halafu yeye anampa pipi....badaye mtoto kaja kutoa siri akifikiri sio kosa...ila alishalaani kwa kuona uchi wa mtu mzima na yeye ni mtoto mdogo... hayo yote yanashughulikiwa kwa namna tofauti lakini sio kubaka... Labda kama uki define kubaka pasipo kuwa kisheria....
 
Hute,

duh, aiseee kazi kweli kweli,...
bora umenitoa uoga, isijetokea naoa halafu nafungwa eti nimembaka mke wangu
 
Hute naomba nitofautiane na wewe kidogo
Mwanaume anaweza kumbaka mke wake pale atapomlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. Huwa inatokea wakati labda hata mume amelewa anamlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. So suala la mwanaume kumbaka mke wake lipo. Au kipindi ambacho labda mwanammke amejifungua mume anamlazimisha kufanya sex huwa inatokea kubaka. Ukisoma Sospa utaona vifungu ambavyo vinasema wazi kuwa mume anaweza kumbaka mke wake
 
Ingekua hivo basi hata ukimwi usingekua unaongelewa leo,...au hili gazeti lisingetoa habari hii leonimejitahidi kutafuta kabla ya kuanzisha hii,...nipe link
Safi sana speaker!
 
Dahhhh
Mie nadhani kubaka
Ni kumlazimisha mtu kufanya ( sex) bila
Hidhini yake..

NO means NO, ALWAYS...therefore you have to wait for "few days" until the answer is YES you can have it 🙂, ENJOY

Last edited by a moderator:
Huu uingizaji wa gear bila kukanyaga clutch sijui utaisha lini au hawa jamaa wamezoea automatic?
 
Hute naomba nitofautiane na wewe kidogo
Mwanaume anaweza kumbaka mke wake pale atapomlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. Huwa inatokea wakati labda hata mume amelewa anamlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. So suala la mwanaume kumbaka mke wake lipo. Au kipindi ambacho labda mwanammke amejifungua mume anamlazimisha kufanya sex huwa inatokea kubaka. Ukisoma Sospa utaona vifungu ambavyo vinasema wazi kuwa mume anaweza kumbaka mke wake
kwa kawaida unachosema ni kweli, lakini kisheria, si kweli. na neno kubaka ni neno la kisheria si la kikawaida...nimekwambia kasome sospa(sexual offenses special provisions Act 1998), nenda tu kwenye website ya bunge utaipata hiyo document uisome utaelewa ninachosema..
 
Back
Top Bottom