Je, mwanaume aweza kukaa miezi mitatu bila kukutana na mwenza wake?

Je, mwanaume aweza kukaa miezi mitatu bila kukutana na mwenza wake?

Wakuu
Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miez mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?au kuko na shida mahali?
Inategemea yupo wapi na shughuli gani, kuna kazi inakaba ni zaidi ya miezi hiyo
 
Wakuu
Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miez mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?au kuko na shida mahali?
Kama unasubiri tu kuangushwa muda wote hujiongezi, na mazingira yako hayana mvuto inawezekana kabisa hata mwaka ukapita, lakini ukijua thamani na wajibu wa mwanamke na ukaandaa mazingira yako yakawa "sexy" utapigwa kitu deile tu!

Wanawake wengi hawajui mwanaume anaamshwa kwanza kwenye brain sio kitandani, unavyojiweka na unavyoandaa mazingira yako ndio matokeo yako, wengi wanafikiria ni mapaja tu ndo yanavutia, wanasahau mapaja hata kuku anayo, hamna mwanaume atakua na hamu na wewe unanuka mikojo, unatoka chooni na unafuta uchi na tissue mara sita, hujaoga, nyumba ipo km stoo, chafu inanuka, chakula cha hovyo umelipua tu halafu kimepoa, umejivalia manguo kama ninja au madera kama wamama wa kiswahili, then mdomo mrefu unaongea kama kasuku, unataka mwanaume akae muda wote anakusikiliza na maubishi yako, nani atakuwa na hamu na wewe bana? Unachonga halafu unasubiri kitandani wakati ushanichosha nje ya kitanda. Mwanamke unaongea bass, unakoroma tu, nani ataguswa bana?

Hebu kwenda kule, niache nikapige ulabu nirudi kujilaza asbh nikawajibike kule kufukuzia shilingi aah!

So matokeo ya unayouliza unayajenga mwenyewe, na ukitaka utapigwa pu.mb kila siku, wewe tu na maamuzi yako hujachelewa
 
Kaa chini na mwenzako huenda kuna shida na inahitaji faraja yako.
Uchafu ndio shida kubwa! Wanaume wengi wanajuta wakishaoa then limama linajisahau sasa linajua lishamiliki mashine ambayo ni mechanical itafanya kazi tu, vilivyomvutia akakuoa vinapotea anakua wa kawaida hamna ubunifu tena. Na akipata na mtoto/watoto ndio basi tena anasubiri akutengee tu kitandani!
 
Haiwezekani Kwa mwanaume rijali, mzima wa afya na asiye na mpango wa pembeni akae miezi mitatu afanye mara Tano then mnalala kitanda kimoja Kila siku, ina maana Kila mwezi ni mara mbili tu!.. hapo Kuna shida mahali, lazima mkae chini muulizane maana huwezi jua anachopitia mwanaume, sometimes wanaume tuna vitu vinatuua halafu tunapiga kimya.
 
Upo wapi nimsaidie jamaa!

Hana hisia na wewe kutokana na sababu lukuki ulizozisababisha mwenyewe!

Shida huwa hamtuambii kwa kirefu kinachoendelea kati yenu eg migogoro etc

NB:Kama siyo mgonjwa jua huko nje anapiga kazi anarudi home mwepesiiii
 
Back
Top Bottom