mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Tuna mambo mengi ya kufanya hizo mambo tuwaachie nyinyi watu wa chini sisi hatukusomaTajir hujui tofauti ya jela na jera? Amka kwnywe chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna mambo mengi ya kufanya hizo mambo tuwaachie nyinyi watu wa chini sisi hatukusomaTajir hujui tofauti ya jela na jera? Amka kwnywe chai
Yeah,inategemeana kama yupo kwenye mahusiano piaInategemea yupo wapi na shughuli gani, kuna kazi inakaba ni zaidi ya miezi hiyo
Kama unasubiri tu kuangushwa muda wote hujiongezi, na mazingira yako hayana mvuto inawezekana kabisa hata mwaka ukapita, lakini ukijua thamani na wajibu wa mwanamke na ukaandaa mazingira yako yakawa "sexy" utapigwa kitu deile tu!
Wanawake wengi hawajui mwanaume anaamshwa kwanza kwenye brain sio kitandani, unavyojiweka na unavyoandaa mazingira yako ndio matokeo yako, hamna mwanaume atakua na hamu na wewe unanuka mikojo, unatoka chooni na unafuta uchi na tissue mara sita, hujaoga, nyumba ipo km stoo, chafu inanuka, chakula cha hovyo umelipua tu halafu kimepoa, umejivalia manguo kama ninja au madera kama wamama wa kiswahili, then mdomo mrefu unaongea kama kasuku, unataka mwanaume akae muda wote anakusikiliza na maubishi yako muda wote nani atakuwa na hamu na wewe bana? Unachonga halafu unasubiri kitandani wakati ushanichosha nje ya kitanda.
Hebu kwenda kule, niache nikapige ulabu nirudi kujilaza asbh nikawajibike kule aah!
So matokeo ya unayouliza unayajenga mwenyewe, na ukitaka utapigwa pu.mb kila siku, wewe tu na maamuzi
Uchafu ndio shida kubwa! Wanaume wengi wanajuta wakishaoa then limama linajisahau sasa linajua lishamiliki mashine ambayo ni mechanical itafanya kazi tu, vilivyomvutia akakuoa vinapotea anakua wa kawaida hamna ubunifu tena. Na akipata na mtoto/watoto ndio basi tena anasubiri akutengee tu kitandani!
Sio mgonjwa,hakuna mgogoro na mimi sio mchafu tuko safi haswa.siwezi kuwa na stress sipendi ugomvi natamani nimuache tuUpo wapi nimsaidie jamaa!
Hana hisia na wewe kutokana na sababu lukuki ulizozisababisha mwenyewe!
Shida huwa hamtuambii kwa kirefu kinachoendelea kati yenu eg migogoro etc
NB:Kama siyo mgonjwa jua huko nje anapiga kazi anarudi home mwepesiiii
Piga chini hiyo kukuSio mgonjwa,hakuna mgogoro na mimi sio mchafu tuko safi haswa.siwezi kuwa na stress sipendi ugomvi natamani nimuache tu
Hata miaka anaweza.Wakuu
Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.
Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?
Au kuko na shida mahali?
Mnatakiwa kuwa na honest talk bila judgement na kila mtu afunguke kwa undani sana, lazima kuna regrets kati yenu na tatizo la mawasiliano, halafu pia inaonekana hujamjua vizuri mumeo kutambua triggers zake, nini vinamuamsha awe na hamu na wewe! Ikiwezekana chukueni vacation mkajifiche mbali kbs mnapoweza iwe ni hotelini au fancy place mkazungumze na kukumbushana mlivyoanza mapenzi motomoto na kutafuta "where you lost your way". Mchunguze sawasawa na mkiona muombane msamaha kwa dhati, na kupromise kila mtu atakua mpya kila siku muanze upya kama bado unampenda inaonekana alishakua cold sana kwako!
Sindikizwa na Boys to men
View: https://www.youtube.com/watch?v=w5ZVIuHkgCQ
😃😃😃😃Piga chini hiyo kuku
Hili suala la uchafu nalikataa kabisa iko sababu nyingine labda lakin juu ya hili hapana niko vizuri maybe kanichoka tu au kapata bora zaidi yangu maoni yenu yananifanya nikate shauri kuachana naeHuyo jamaa anaweza asiwe nashida mda mwingine labda wewe ni lichafu au upoupo tu anakosa ashiq majununu. Badlika dada hana shida jamaa.
Usifanye hivyo em jaribu kumwonyesha ishara za mwisho wa uvumilivu wako asipo badlika niwazi utakuwa sahihi . Ila hata tuwe na wanawake mia hatuwez kufanya hivyo ndaniHili suala la uchafu nalikataa kabisa iko sababu nyingine labda lakin juu ya hili hapana niko vizuri maybe kanichoka tu au kapata bora zaidi yangu maoni yenu yananifanya nikate shauri kuachana nae
Nitajaribu.shukran mkuuUsifanye hivyo em jaribu kumwonyesha ishara za mwisho wa uvumilivu wako asipo badlika niwazi utakuwa sahihi . Ila hata tuwe na wanawake mia hatuwez kufanya hivyo ndani
Kwnywe=KanyweTajir hujui tofauti ya jela na jera? Amka kwnywe chai
Haiwezekani kabisa, hiyo mara tano kwa wiki labdaWakuu
Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.
Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?
Au kuko na shida mahali?