Je, mwanaume aweza kukaa miezi mitatu bila kukutana na mwenza wake?

Je, mwanaume aweza kukaa miezi mitatu bila kukutana na mwenza wake?

Sex to men is more psychological not mechanical, ndo maana tunaanza kuvutiwa kabla ya kitandani, huko ndiko mwanamke anatakiwa kuanza kuandaa sio kusubiri kitandani uambiwe ugeuke!
 
Miezi mi3, mara 5 na mnalala kitanda kimoja 😳, kuna tatizo hapo
 
Kama unasubiri tu kuangushwa muda wote hujiongezi, na mazingira yako hayana mvuto inawezekana kabisa hata mwaka ukapita, lakini ukijua thamani na wajibu wa mwanamke na ukaandaa mazingira yako yakawa "sexy" utapigwa kitu deile tu!

Wanawake wengi hawajui mwanaume anaamshwa kwanza kwenye brain sio kitandani, unavyojiweka na unavyoandaa mazingira yako ndio matokeo yako, hamna mwanaume atakua na hamu na wewe unanuka mikojo, unatoka chooni na unafuta uchi na tissue mara sita, hujaoga, nyumba ipo km stoo, chafu inanuka, chakula cha hovyo umelipua tu halafu kimepoa, umejivalia manguo kama ninja au madera kama wamama wa kiswahili, then mdomo mrefu unaongea kama kasuku, unataka mwanaume akae muda wote anakusikiliza na maubishi yako muda wote nani atakuwa na hamu na wewe bana? Unachonga halafu unasubiri kitandani wakati ushanichosha nje ya kitanda.

Hebu kwenda kule, niache nikapige ulabu nirudi kujilaza asbh nikawajibike kule aah!

So matokeo ya unayouliza unayajenga mwenyewe, na ukitaka utapigwa pu.mb kila siku, wewe tu na maamuzi

Uchafu ndio shida kubwa! Wanaume wengi wanajuta wakishaoa then limama linajisahau sasa linajua lishamiliki mashine ambayo ni mechanical itafanya kazi tu, vilivyomvutia akakuoa vinapotea anakua wa kawaida hamna ubunifu tena. Na akipata na mtoto/watoto ndio basi tena anasubiri akutengee tu kitandani!

Upo wapi nimsaidie jamaa!

Hana hisia na wewe kutokana na sababu lukuki ulizozisababisha mwenyewe!

Shida huwa hamtuambii kwa kirefu kinachoendelea kati yenu eg migogoro etc

NB:Kama siyo mgonjwa jua huko nje anapiga kazi anarudi home mwepesiiii
Sio mgonjwa,hakuna mgogoro na mimi sio mchafu tuko safi haswa.siwezi kuwa na stress sipendi ugomvi natamani nimuache tu
 
Mnatakiwa kuwa na honest talk bila judgement na kila mtu afunguke kwa undani sana, lazima kuna regrets kati yenu na tatizo la mawasiliano, halafu pia inaonekana hujamjua vizuri mumeo kutambua triggers zake, nini vinamuamsha awe na hamu na wewe! Ikiwezekana chukueni vacation mkajifiche mbali kbs mnapoweza iwe ni hotelini au fancy place mkazungumze na kukumbushana mlivyoanza mapenzi motomoto na kutafuta "where you lost your way". Mchunguze sawasawa na mkiona muombane msamaha kwa dhati, na kupromise kila mtu atakua mpya kila siku muanze upya kama bado unampenda inaonekana alishakua cold sana kwako!

Sindikizwa na Boys to men

View: https://www.youtube.com/watch?v=w5ZVIuHkgCQ
 
Wakuu

Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.

Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?

Au kuko na shida mahali?
Hata miaka anaweza.
 
Asante sana mkuu
 
Huyo jamaa anaweza asiwe nashida mda mwingine labda wewe ni lichafu au upoupo tu anakosa ashiq majununu. Badlika dada hana shida jamaa.
 
Hizi umbwa siku 4 za period tu hazitulii zinabweka itakuwa mwezi? 😹
 
Huyo jamaa anaweza asiwe nashida mda mwingine labda wewe ni lichafu au upoupo tu anakosa ashiq majununu. Badlika dada hana shida jamaa.
Hili suala la uchafu nalikataa kabisa iko sababu nyingine labda lakin juu ya hili hapana niko vizuri maybe kanichoka tu au kapata bora zaidi yangu maoni yenu yananifanya nikate shauri kuachana nae
 
Hili suala la uchafu nalikataa kabisa iko sababu nyingine labda lakin juu ya hili hapana niko vizuri maybe kanichoka tu au kapata bora zaidi yangu maoni yenu yananifanya nikate shauri kuachana nae
Usifanye hivyo em jaribu kumwonyesha ishara za mwisho wa uvumilivu wako asipo badlika niwazi utakuwa sahihi . Ila hata tuwe na wanawake mia hatuwez kufanya hivyo ndani
 
Inawezekana. Wengi tu tunaweza, usiwe na mawazo ya yeye anachepuka. Hatupo ivo.
 
Wakuu

Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.

Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?

Au kuko na shida mahali?
Haiwezekani kabisa, hiyo mara tano kwa wiki labda
 
Back
Top Bottom