Wakuu
Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miez mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?au kuko na shida mahali?
Kama unasubiri tu kuangushwa muda wote hujiongezi, na mazingira yako hayana mvuto inawezekana kabisa hata mwaka ukapita, lakini ukijua thamani na wajibu wa mwanamke na ukaandaa mazingira yako yakawa "sexy" utapigwa kitu deile tu!
Wanawake wengi hawajui mwanaume anaamshwa kwanza kwenye brain sio kitandani, unavyojiweka na unavyoandaa mazingira yako ndio matokeo yako, wengi wanafikiria ni mapaja tu ndo yanavutia, wanasahau mapaja hata kuku anayo, hamna mwanaume atakua na hamu na wewe unanuka mikojo, unatoka chooni na unafuta uchi na tissue mara sita, hujaoga, nyumba ipo km stoo, chafu inanuka, chakula cha hovyo umelipua tu halafu kimepoa, umejivalia manguo kama ninja au madera kama wamama wa kiswahili, then mdomo mrefu unaongea kama kasuku, unataka mwanaume akae muda wote anakusikiliza na maubishi yako, nani atakuwa na hamu na wewe bana? Unachonga halafu unasubiri kitandani wakati ushanichosha nje ya kitanda. Mwanamke unaongea bass, unakoroma tu, nani ataguswa bana?
Hebu kwenda kule, niache nikapige ulabu nirudi kujilaza asbh nikawajibike kule kufukuzia shilingi aah!
So matokeo ya unayouliza unayajenga mwenyewe, na ukitaka utapigwa pu.mb kila siku, wewe tu na maamuzi yako hujachelewa