Huyo dena mwacheni jama daktari amesema april 1 ilimuathiri sana na inaweza ikaendelea hivyo mpaka april 1 ya 2012 so msameheni bure tu.MATY, lol, SIYO SIKU TISA NI MIAKA TISA (9).... huyu dena sidhani kama anamaanisha nahisi anatania na haya majibu yake.
Ha ha ha ha bado unahasira ya siku ya wajinga ulivyonitumia sms ya kushituka nikakwambia siku ya wajinga ukataka kuzimia??? Pole mie niko siriazi kweli ujue Maty hebu acheni mambo hayo bana
ROSE1980 upo sahihi kabisa, eti pesa yake ni yake peke, na ya mwanamke ni ya wote....
Maisha jamani si ni kusaidiana, au ni kusaidiwa tu??
Yeye huwa anampa kwa upendo tu , mfano akienda safarii anaweza kumwambia mpenzi wangu nilitaka leo tupate dinner pamoja lakin kwa vile nipo mbali ntakutumia pesa ukapate dinner popote japo sipo jisikie tupo pamoja, ndiyo mojawapo ya stahili anayompa kumpa pesa, kuonesha kuwa anamjali japo yupo mbali naye.
<br />
<br />
Rose sijaenda kushoto hata kidpgo mapenzi sio pesa bana mtu aakuja kukuona hospital wewe unadai hakuletei kitu? Yeye kuja ni muhimu kuliko pesa
hahahah,,nunu hapo umeenifurahisa
siku za nyum ahapa kulikuwa na mjadala mkali kuhusu hili...kumbe kibao kikiwa upande mwengine inakuwa issue eeh?
sasa kama asipoolewa naye, amekaa naye miaka 9, huyo sasa ana umri gani anataka kubaki single???

Mungu alisema anakupa msaidizi mke/mume sasa huyu mume wa hivi wala sio mpango wa mungu inawezekana alipangiwa akiwa na miaka 40 so subira yavuta heri
Mungu alisema anakupa msaidizi mke/mume sasa huyu mume wa hivi wala sio mpango wa mungu inawezekana alipangiwa akiwa na miaka 40 so subira yavuta heri
labda alihic atabadilika....miaka miwili inatosha kabisa, 9 ndio anapambazuka? ishu ni kwamba sio kama ikiwa upande wetu inakuwa ishu, ishu ni kwamba wewe kama mpenzi wangu cwez kuja kukusalimia hosp mikono mitupu bila hata kapeasi ka 200...hiki kitendo kimenigusa sa,mie ningeshamtimua, hana utu kabisa..
KAIZER , kwa maelezo inamaana aolewe tu kwa kigezo kuwa ksb wapo muda mrefu anaweza asimpate mwingine???,mmmh!! labda sijakulewa vizuri.
NYAMAYAO sema wewe, eti uwepo wake tu inatosha hata maji ya sh 50 hakuna,,hata ukikaa wiki hosp atakuwa kutwa mara tatu lakin mikono mitupu na unachoambulia ni NAKUPENDA NYIIINGI NA UPONE HARAKA SWEET,,,jamani dawa si inahitaji japo chungwa?? au

hafai jamani eh!
mwanaume gani umlishe, umwekee gari mafuta
maji ya kuoga
umfulie tena sabuni ununue wewe!!!
au TUSEME UNAMHONGA!!!!???