Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

MATY, lol, SIYO SIKU TISA NI MIAKA TISA (9).... huyu dena sidhani kama anamaanisha nahisi anatania na haya majibu yake.
Huyo dena mwacheni jama daktari amesema april 1 ilimuathiri sana na inaweza ikaendelea hivyo mpaka april 1 ya 2012 so msameheni bure tu.

Ila huyo dada miaka tisa kha!
 
Ha ha ha ha bado unahasira ya siku ya wajinga ulivyonitumia sms ya kushituka nikakwambia siku ya wajinga ukataka kuzimia??? Pole mie niko siriazi kweli ujue Maty hebu acheni mambo hayo bana

Nakwambia bado siku ya wajinga inaendelea kuzunguka ubongoni mwako, (halafu unanifanya niishiwe na maneno ujue navyokomaaga na marioo halafu we leo unajifanya kuwatetea unanivunja nguvu ujue we haya)
 
amesamehewa huyu Dena....KWANI HAJUI ATENDALO lol
 
HA HA HA HA HA ....umesikia ? bado unaiwazia tarehe 01-04???
 
aliweza miaka tisa ksb ya UPENDO, UVUMILIVU,SUBIRA akiamini kuwa atabadilika, ila msumari (jibu) wa mama ndiyo umempa uweli woooote.
 
ROSE1980 upo sahihi kabisa, eti pesa yake ni yake peke, na ya mwanamke ni ya wote....
Maisha jamani si ni kusaidiana, au ni kusaidiwa tu??

Yeye huwa anampa kwa upendo tu , mfano akienda safarii anaweza kumwambia mpenzi wangu nilitaka leo tupate dinner pamoja lakin kwa vile nipo mbali ntakutumia pesa ukapate dinner popote japo sipo jisikie tupo pamoja, ndiyo mojawapo ya stahili anayompa kumpa pesa, kuonesha kuwa anamjali japo yupo mbali naye.

hahahah,,nunu hapo umeenifurahisa

siku za nyum ahapa kulikuwa na mjadala mkali kuhusu hili...kumbe kibao kikiwa upande mwengine inakuwa issue eeh?

sasa kama asipoolewa naye, amekaa naye miaka 9, huyo sasa ana umri gani anataka kubaki single???
 
<br />
<br />
Rose sijaenda kushoto hata kidpgo mapenzi sio pesa bana mtu aakuja kukuona hospital wewe unadai hakuletei kitu? Yeye kuja ni muhimu kuliko pesa

sasa anakuja kufanya nn c aulizie kwenye fone? na u2 pia achia mbali mapenzi huwezi kwenda kumwona mgonjwa wako awe ndugu/mpenzi bila hata maji ya kunywa ya kweny vilailon....mtoa mada kumbadilisha mtu mzima ni kazi kubwa sana, yeye kama amempenda ajilipue tu actegemee mabadiliko kwa sana.
 
hahahah,,nunu hapo umeenifurahisa

siku za nyum ahapa kulikuwa na mjadala mkali kuhusu hili...kumbe kibao kikiwa upande mwengine inakuwa issue eeh?

sasa kama asipoolewa naye, amekaa naye miaka 9, huyo sasa ana umri gani anataka kubaki single???

Mungu alisema anakupa msaidizi mke/mume sasa huyu mume wa hivi wala sio mpango wa mungu inawezekana alipangiwa akiwa na miaka 40 so subira yavuta heri
 
labda alihic atabadilika....miaka miwili inatosha kabisa, 9 ndio anapambazuka? ishu ni kwamba sio kama ikiwa upande wetu inakuwa ishu, ishu ni kwamba wewe kama mpenzi wangu cwez kuja kukusalimia hosp mikono mitupu bila hata kapeasi ka 200...hiki kitendo kimenigusa sa,mie ningeshamtimua, hana utu kabisa..
 
Mungu alisema anakupa msaidizi mke/mume sasa huyu mume wa hivi wala sio mpango wa mungu inawezekana alipangiwa akiwa na miaka 40 so subira yavuta heri

hapa kuna conflict of interest ngoja niwe mpole kwanza....hbr yako Maty:love:
 
mmmh hapa tuwe wakweli jamani!!!!!!!!!!!!!! inaelekea huyu bwana anampenda binti sababu analelewa! ukweli ni kwamba maisha hayapo hivyo hata kidogo jamani. Maisha ni kusaidiana ati!
Kwa sasa inakua rahisi kwa huyo dada kujitosheleza kwa kipato chake kwa kuwa yuko mwenyewe ila baada ya kuwa na watoto(familia) itakua taabu maana inaelekea huyo bwana hatoshiriki katika kutunza familia kisa mkewe ana hela!!

MNUNU Naomba umshauri huyo dada achukue time yake atapata tu mume muwajibikaji huyo ni mzigo tena gunia la misumari........ hata siku moja asithubutu kuendelea nae

wanaume kama hao huwa hawajali hata kama mwanamke unahongwa ili mradi tu yeye asikukamate anachotaka ni kula, kulalala na kukulala!

hafai
 
Mungu alisema anakupa msaidizi mke/mume sasa huyu mume wa hivi wala sio mpango wa mungu inawezekana alipangiwa akiwa na miaka 40 so subira yavuta heri

mie nilikuwa najuaga hakuna mwanaume mbahili coz acpokupa wewe atampa mwingine esp kwenye ishu ya mapenzi, wanaume wachoyo wapo sasa hii kiboko ctaki aninunulie cjui card ya get well soon au cjui khanga wala loyion, but uje hosp mikono mitupu bila hata pera la kunidanganyishia tupo pa1?
 
KAIZER , kwa maelezo inamaana aolewe tu kwa kigezo kuwa ksb wapo muda mrefu anaweza asimpate mwingine???,mmmh!! labda sijakulewa vizuri.

NYAMAYAO sema wewe, eti uwepo wake tu inatosha hata maji ya sh 50 hakuna,,hata ukikaa wiki hosp atakuwa kutwa mara tatu lakin mikono mitupu na unachoambulia ni NAKUPENDA NYIIINGI NA UPONE HARAKA SWEET,,,jamani dawa si inahitaji japo chungwa?? au
 
labda alihic atabadilika....miaka miwili inatosha kabisa, 9 ndio anapambazuka? ishu ni kwamba sio kama ikiwa upande wetu inakuwa ishu, ishu ni kwamba wewe kama mpenzi wangu cwez kuja kukusalimia hosp mikono mitupu bila hata kapeasi ka 200...hiki kitendo kimenigusa sa,mie ningeshamtimua, hana utu kabisa..

of course baby kwa mtu mpenzi wako si ndo unawajibika jamani mazima?

mi nimeshangaa tu, miaka 9, wanaenjoy sex and the like, na mdada anataka kumove on, its kind of too late kwa mdada hasa ukizingatia suala la umri, na pili kumpata mpenzi mpya japo sio kazi kubwa lakini kumpata atakayemridhisha 100% kwenye 6x6, na ambaye sio mbahili, anayejua kucare and the like, shughuli iko hapo beib

mzima lakini sweet hebu tutete kidogo kwa PM😛oa:busu
 
ni kweli MATY kila kitu ni mpango wa MUNGU ......ila mpango huu nao mmmh!!
 
KAIZER , kwa maelezo inamaana aolewe tu kwa kigezo kuwa ksb wapo muda mrefu anaweza asimpate mwingine???,mmmh!! labda sijakulewa vizuri.

NYAMAYAO sema wewe, eti uwepo wake tu inatosha hata maji ya sh 50 hakuna,,hata ukikaa wiki hosp atakuwa kutwa mara tatu lakin mikono mitupu na unachoambulia ni NAKUPENDA NYIIINGI NA UPONE HARAKA SWEET,,,jamani dawa si inahitaji japo chungwa?? au

huyu dada nae alikuwa na moyo kweli, 9 yrs halafu unajua kabisa umebeba bomu bado unagangamala tu....hivi alishawahi kumjaribu kama yupo hapo hosp kumcal na kumwambia anahamu na juice na mapera mkaka akashindwa kumletea? lakini y mpaka aambiwe? mie kushoka jamani....
 
hafai jamani eh!
mwanaume gani umlishe, umwekee gari mafuta
maji ya kuoga
umfulie tena sabuni ununue wewe!!!
au TUSEME UNAMHONGA!!!!???
 
KAIZER , kwa maelezo inamaana aolewe tu kwa kigezo kuwa ksb wapo muda mrefu anaweza asimpate mwingine???,mmmh!! labda sijakulewa vizuri.

NYAMAYAO sema wewe, eti uwepo wake tu inatosha hata maji ya sh 50 hakuna,,hata ukikaa wiki hosp atakuwa kutwa mara tatu lakin mikono mitupu na unachoambulia ni NAKUPENDA NYIIINGI NA UPONE HARAKA SWEET,,,jamani dawa si inahitaji japo chungwa?? au

Nunu, cheki ufafanuzi wango apo juu...
 
MAMA D, unayosema ni kweli hata mimi nahisi anapenda kulelewa, kipindi yawezekana ikawa rahisi kumlea, lakin je familia ikiwa kuuubwa je ataweza kubeba hili GUNIA LA MSUMARI kama wewe ulivyo lifananisha,
maoni yako ni mazuri sana ksb umewaza hata kesho na kesho kutwa ukizingatia maisha hayasimami wala kurudi nyuma yanasonga mbele,,,
Nimekuelewa MAMA D , na naamini hata DENA amekuelewa mana yeye ndiyo mtu wa kwanza kusema eti huyu kaka ANAFAA SANA KUWA MUME,,,mi naamini dena anaongelea leo,wala siyo kesho.
 
hafai jamani eh!
mwanaume gani umlishe, umwekee gari mafuta
maji ya kuoga
umfulie tena sabuni ununue wewe!!!
au TUSEME UNAMHONGA!!!!???

Kuhonga ipo mama D, mbona sisi tunawahongaga?:drum:
 
Back
Top Bottom