Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.


Well said hili nalo limenigusa kweli bana hivi miaka tisa aliweza vumilia inawezekana jamaa yuko vizuri 6x6 sasa akipata mwingine anamacare ya vizawadi halafu pale 8x8 mtalimbo umelala doro ataanza kulalamika pia, kama vipi aolewe tu mengine atajuaga huko huko bana. Maana binadamu tuko tofauti jamani mungu tu atusaidie, ukibahatika kupata anaekidhi vigezo angalau 50% ya utakavyo ni jambo la kumshukuru mungu.

Kwani mwingine anaweza kuwa mbahili kunako anakuridhisha, mwingine anakupenda mpaka kukulamba na mahitaji yote anatoa lakini kunako hamna kitu, zote ngumu kumesa asee ka vipi ajitose tu
 
SAMAHANI nyama yao sikusoma chini, SASA NIMEKUELEWA,
Hata ukimpigia na kumwambia akuletee matunda atakuletea lakn atakwambia bei yake ili umrudishie pesa yake,,,YEYE KUKUDAI PESA YAKE WALA HAONI SHIDA, ATAKUDAI MPAKA UTAMPA KWA HIYO KERO YAKE YA KUDAIWA...
 
MATY , usinivunje mbavu eti mtalimbo doro......da umenichekesha sana.
 
Huyo mwanaume hakufai shoga, looo dume gani lisiloona umuhimu wa kumpendezesha au kumuhudumia mwanamke wake japo kwa lotion, linakuja linamwaga na kuondoka, anajua unafua hayo mashuka na sabuni gani? hapana aisee tushaambiwa hata kwenye vitabu vya dini mwanaume lazima amhudumie mwanamke wake.Wanaume wengine wanamaudhi!! yaani hata mafuta anataka umjazie?
Hakufai hata kwa kulumangia huyo kimbia mtoto wa kike, kuna raha yake ukihudumiwa na mwanamme wako ati. Duh lacky me mpaka mafuta ya gari nawekewa ya kwenda kazini, poleni kina Dena, Nnunu na wengine ambao hamjui kulelewa
 

hapo ndio panawatisha wengi but y ujiingize mahali tu ilimradi kwa kuhofia umri? na ameshaona kabisa kuna tatizo ataishije humu ndani kama sio kila cku kulia na kujuta? ackilize moyo wake unavyosema but cmshauri afikirie cha umri kbsa sema hapo kwa 9 yrs mie ndio hoi kabisa....

mzima wa afya njema swir just kukumiso....:busu
 

huyu jamaa hana utu kabisa,kwanza haipendezi kwa mwanaume!!mimi nikiwajibika kwa mpenzi wangu naona ni part ya majukumu as a man na si vema kusubiri kuambiwa kwa mtu uliyeko responsible,kisa cha hosp ndiyo anaua mazima!!!!!huyu dada ana uvumilivu wa ajabu!
 

afadhali umenianzishia cku yangu vizuri....nimepanua mapafu hapo....kweli mpenzi wako akikujali inaleta raha sana sana, inaongeza cku za kuishi...hahahaa
 
MATY nimekusoma, labda atakubali kulibeba hilo GUNIA LA MISUMALI (mama D)kaita hivyo, ili aendelee kuapat hiyo huduma ya 6 kwa 6 anayoipata kwa 100%, pamoja na muda wa kuwa pamoja ksb hajawahi kumwambia nipo busy,,muda wa kuwa pamoja anao tena mwingi kwa 100%,,,tabia zingine ni nzuuuri tena sana, tatizo lake kuuubwa ni huo UBAHILI NA UCHOYO TU.

NYAMAYAO uliuliza je ukimwambia alete juise ya pera ya juise je ataleta??,, kuleta analeta vizuri lakin ni lazima utamrudishia pesa yake aliyoitumia kununulia hiyo pera,,atakudai weweee kuepusha hiyo kero ya kudaiwa utalazima kumlipa tu.
 

halafu mie najua yeye ndio alitakiwa anical na kuniuliza nahitaji nn na nn, nina hamu ya kula nn na nn sasa hii kiboko....
 
MAT, asante kwa maoni yako nimekuelewa,,,nimefurahi mwanaume umeeleza umuhimu wa kusaidiana katka mahusiano,,mwanamke akieleza hivyo wengine wanahisi kama tunapenda kuhudumiwa kumbe HUDUMA NI HAKI KUPEANA KWA WAPENZI.
 
Sorry, siyo mat nilimaanisha wit,
asante wit nimekuelewa vizuri sana
 

hee wewe nnunu hebu huko, ndio nn hiki? halafu umesema mdada akimkopa hela lazima aseme cku ya kurudisha na cku hiyo atapigiwa kukumbushwa airudishe...haaa jamani mie najua kwenye mapenzi hakunaga kukopeshana bali kupeana kama Kaizer kaishiwa unampa shs100 na sio kumkopa....haya mapezni yao yapo kinyume nyume sana wallaahh...mie ctaki kabisa.
 
Asante blackberry , na hongera sana kwa kupata mwanaume anayejua nini wajibu wake kwa mwanamke huyu ni mwanaume anayejitambua kama wanaume wachache kama wit anayesikia fahari na vizuri kumhudumia mwanamke,
nawatakia maisha marefu ya mapenzi kati yenu,

ni kweli dena anastahili pole asiyejua uzuri na raha ya kuhudumiwa na mwanaume.
 

Chineke meeeeeeeeeeeeeee, we nnunu hujaongeza chumvi hapo kweli yaani hata akikununulia matunda au juice anadai umrudishie pesa, nimieishiwa maneno wajameni kwaheriniiiii, kwa heri mwalimu kwaheri tutaonana kesooooooooooooo
 
halafu mie najua yeye ndio alitakiwa anical na kuniuliza nahitaji nn na nn, nina hamu ya kula nn na nn sasa hii kiboko....

uko sawa kabisa as a gentleman alipaswa kufanya hivyo,bado akili yangu haipati kumuelewa ni mwanaume wa namna gani!!huyo binti asiingie nae kny ndoa kwa kigezo cha umri maana furaha yake ni zaidi ya kila kitu,wasichana wengi huangalia umri na kuamua ili mradi kitu kinachokuja kuwaletea majuto makubwa hapo mbele.
 
MAT, asante kwa maoni yako nimekuelewa,,,nimefurahi mwanaume umeeleza umuhimu wa kusaidiana katka mahusiano,,mwanamke akieleza hivyo wengine wanahisi kama tunapenda kuhudumiwa kumbe HUDUMA NI HAKI KUPEANA KWA WAPENZI.

nunnu wanawake wameumbwa kuhudumiwa,mwanamke akikuhudumia ni ile hali ya kuonyesha mapenzi tu na kujali lkn si wajibu wake kiviiile!nisipomuhudumia mpenzi wangu na asipodemand am sure kuna mtu anasaidia kutake care maana ni part ya mapenzi wala si utegemezi ingawa sasa simaanishi ile ya kutufanya atm kwa makusudi lolz!
 
MATY NA NYAMAYAO mnadhani labda naongea chumvi lakni kutoka ndani ya MOYO WANGU , UKWELI NDIYO HUO , akitumia hata sh 10 ni LAZIMA LAZIMA utamrudishia tena ATAKUDAI bila haya wala soni, UKIMPA maisha yanaendelea kama kawaida,,usippo mpa basi kila mkionana DENI LAKE NI ITAKUWA SALAAM,
mfano , vipi mpenzi hajambo ila unakumbuka kama nilikununulia pera na pesa haujarudisha???, please! my love naomba unirudishie pera isiwe mwango wa migogoro kati yenu,,NAKUPENDA SANA lakin plase honey naomba unirudishie pesa yangu,,mimi huduma zoote zinazohusiana na PESA ntakupa TUKIOANA lakin kipindi hiki, honey lipa pesa.
HIZI MATY NA NYAMAYAO KWA MANENO YOOOTE HAYO JE UTASHINDWA KURUDISHA PESA YAKE,,,naamini utarudisha tu ili kuepusha migogoro kati yenu.

SIONGEZI CHUMVI HII NDIYO HALI HALISI.
 
Mungu alisema anakupa msaidizi mke/mume sasa huyu mume wa hivi wala sio mpango wa mungu inawezekana alipangiwa akiwa na miaka 40 so subira yavuta heri

Ni kweli huo utakuwa mpango wa nje tu hauna madhara
 
NAKUELEWA SANA NA VIZRU TU WIT, usemayo yote ni kweli pia haipendezi kumfanya mpenzi wako ATM.
ninalodemand hapa ni KUSHIRIKIANA KIGHARAMA katika matumizi kawa wapenzi WANAOJITAMBUA WANAVYOSHIRIKIANA.
NA KUHUDUMIA MPENZI SIYO DHAMBI BALI NI WAJIBU, LAKIN BASI HATA YEYE AWE ANAJITOA NA WEWE KUKUHUDUMIA SIYO AWE MPOKEAJE TU KWA KISINGIZIO KWA ANAOGOPA KUFANYA ATM,,,,AU ETI ANASUBIRI MPAKA MUOANE,,,,,KUNA UHAKIKA GANI KAMA MKIOANA ATAHUDUMIA KWELI?? AU NDO ATAACHA GHARAMA ZOOOOOOOTE ZIHUDUMIWE UPANDE MMOJA.

UNAMHUDUMIA MPENZI WAKO WIT KSB UNAJITAMBUA NA UNAJUA NINI WAJIBU WAKO KATKA MAHUSIANO YENU, JAMBO AMBALO NI ZURI KULIFANYA KWA WAPENDANAO,,ALL THE BEST WIT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…