mmm!! inasubiriwa hiyo tume itakayoundwa kapera ,,, kuna mtu kasema hajui kutafuta chake hapa ??, kwani umeambiwa yeye ni tegemezi???. si tegemezi hata kidogo ni independent woman lakin hapa anachoongelea na kesho na kesho kutwa, maisha gani ya kutokusaidiana??.
HIvi ufisadi ni nini kwako?? ina maana mwanaume kumhudumia mwanamke ni ufisadi???, na je mwanamke kumhudumia mwanaume ni nini???.
Jaribu kuelewa kinachoongelewa ndipo upate cha kuchangia kama huwezi kuchangia basi wewe soma na kukaa kimya,, hata kukaa kimya pia ni haki yako. Ila asante kwa mchango wako kapera.