Je mwanaume mwenye tabia hizi anafaa kua mume?

haa haaaa Ashangedere nimeipenda hiyo unafaa kufunda, ushauri wako waweza kubadilisha mtu labda.
 
km lile nililokupa ufagie uwanja asubuhi kabla haujaenda kazin..

unajua uliniuzi kweli leo, yaani kwanini leo ulinipa kwa masharti?kwamba nikimaliza tu, nikafagie uwanja, la sivyo jioni nikirudi kutoka kazini hunipi !
 
yeye mwenye yuko njia panda amuache au amvumilie asichopenda kwa domo kaya wake ni huo mdomo, kama umenielewa vizuri nimesema kila anachokiona au kukifanya lazima aseme, hata akimuona fafkiake na mkewe lazima atasema hao nao usione wanajidai wana pendana hamna lolote, wanamatatizo ya ndoa vibaya sana hawatafika kokote, mi mwenyewe nashindwa nimwambieje dada huyo.
 

Umesema huyo dada ana hofu ya mungu so ni mcha mungu ajiulize anampenda huyo mtu kwa dhati yaani toka rohoni? kama ndivyo aendelee kumuombea kwa mungu atabadilika huku na yeye akifanya kama ambavyo asha ngedere amesema hapo juu ila anatakiwa awe mvumilivu kwani hawezi badilika cku moja taratibu taratibu mwisho cku isiyo na jina ataona tu jamaa amebadilika hakuna kisichowezekana chini ya jua
 
Kabla sijamaliza kusoma,,nakushauri mpige chini huyo limbukeni.
 
Kama ni msukuma nimejua tatizo lake ni MSHAMBA. Sio majigambo kama ya kihaya (Nshomilez)

hata mimi naungana na wewe....USHAMBA ni mzigo mkubwa sana....huyu jamaa anaonekana bado ni mlugaluga
 
Asha huwa unatoa nasaa kwenye K/party? .......... nataka mkupatie tenda
 
Preta hujambo? mbona sikuhizi sikuoni viwanja? .................. ushamba unawezarekebika kama huyu
dada kweli anampenda jamaa.......... angekuwa jambawazi ningemwambia akimbie.
 
Preta hujambo? mbona sikuhizi sikuoni viwanja? .................. ushamba unawezarekebika kama huyu
dada kweli anampenda jamaa.......... angekuwa jambawazi ningemwambia akimbie.

he he...mimi sijambo ndugu yangu......huyu jamaa wa bidada ni kimeo.....mwanaume anayeongea sana kwa kweli hata mimi....mmmmh.....:nono:
 
Mamushka ni hivi rafiki yako aelewe kuna mambo 3 ambayo ni tofauti:
1. Character - Tabia/traits iliyo kwenye genes zako
2. Personality - Muonekano/sifa zako kwa mtazamo wa watu wengine
3. Habit - Tabia ambayo umekuwa nayo kutokana na mazowea/ umejizowesha tu na wala hukuzaliwa nayo.
Character huwa haibadiliki hadi pale umauti, Personality yaweza tu badilika pengine baada ya mafunzo ya muda mrefu na Habit ni rahisi kubadilisha.
Alichokuwa nacho huyu mume mtarajiwa (Mr. Misifa) ni Character yake na hatobadilika kamwe, vilevile hii character ina-define personality yake, kilichokuwepo hapa ni clash of personality baina ya hawa watu wawili na kama wataamua wafanye ndoa I'm sorry to say itakuwa haina furaha.
Na akubali kwamba akimtaka huyo mume basi pia akubali kuishi na hiyo character .
 
labda kwa maombi ata change, ila mi naona kama nimajaribu kabla hata haingia ndani.
 
dah....we kiboko.....adisi haijaisha umeshatoa uamuzi......sikuwezi
preta hufai tena wewe ungepewa huyo kaka navokujua msingefika sakumi nambili jioni ungesha mtimlia huko vichakani jamani anamtesa mdada wa watu yani anamdomo halafu mjuajii mh kwakweli mwanaume wa hivyo mi ninge mshiti anavunja moyo kishenzi.
 
nikweli hata badilika kama mtu anamiaka 41 bado hajabadilika basi tena.
 
kama atamzidi Yusuf Makamba kwa umbea na kuongea amwache mara moja, au jamaa Muhaya, maana nshomile akipata hata form 4 halafu ukute muongeaji ni balaa, so tell her this, more than Makamba ni talking get out, huyu si mwanaume
 
kama atamzidi Yusuf Makamba kwa umbea na kuongea amwache mara moja, au jamaa Muhaya, maana nshomile akipata hata form 4 halafu ukute muongeaji ni balaa, so tell her this, more than Makamba ni talking get out, huyu si mwanaume
ha haaa nadhani huyu atakua mtoto wa makamba wa nje hajui tu, na amerithi tabia za msure wake.
 
Mamushka hii story mbona kama ya kwako binafsi jamani? dah
 
Hiyo ni hali ambayo siyo nzuri,, na wanaume wa namna hiyo wapo...

Ila ni vizuri afundishwe siri ya unyumba nizamuhimu sana..

Pia ni wakati huu wa uchumba kwa wao kuelezana mapungufu yao na kufundishana ikishindikanika ni kuachana. Hakuna haja ya kuwa na mume mbeya na asiye na heshima kwa mchumba wake let alone mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…