Je mwanaume mwenye tabia hizi anafaa kua mume?

Je mwanaume mwenye tabia hizi anafaa kua mume?

sasa uyo bnt amnasubiri nin?
masifa wanaboa bora ata ukae na m,anyigu ndan yakuume utapona lakin masifa boy dah ...mbaya sana
ajiandae kutolewa habar za ktandan pia uenda ashazmwaga sema ao marafiki tu wanamwonea aibu kumwambia
--wakioana apoa ajiandae ata akiacha ela ya matembele home ataenda kutangaza ma wife daily anakula baga za steers...AMKIMBIZE--
--no one z pafect lakin uyo mhh mtu si makosa aliyonayo ni manyanyaso zaid alyonayo
--afu hana heshma wala utu ..kitu cah hsptali nacho mpk ukatangaze....sasa nini maana ya bf?????ata km ni rafiki wa kawaida tu akikusaidia akatangaza utajiskiaje?????
AMKIMBZE
kama issue ya hospital anaiongea kila siku yani hata wakitofautiana kidogo anaanza kumwambia kumbuka ulivokua unamwa nakupeleka hospital nani mwanaume gani angeacha mambo yake akusindikize hujui tu mwanaume kama mimi adimu, halafu watu wote wa maana anasema rafiki zake, mi mwenyewe ananiudhi sana anamasimango sana.
 
utafika muda fulani ataacha tu kwani hata hao anaowaambia mambo yake watamchoka.
 
utafika muda fulani ataacha tu kwani hata hao anaowaambia mambo yake watamchoka
 
kama issue ya hospital anaiongea kila siku yani hata wakitofautiana kidogo anaanza kumwambia kumbuka ulivokua unamwa nakupeleka hospital nani mwanaume gani angeacha mambo yake akusindikize hujui tu mwanaume kama mimi adimu, halafu watu wote wa maana anasema rafiki zake, mi mwenyewe ananiudhi sana anamasimango sana.

hata kama anakuudhi ...huyo atabaki kuwa mpenzi wa rafikio mama! mpe ushauri ambao siyo biased then muache aamue mwenyewe! Chukua hizi thread ziweke kwenye pdf format ......print copy mbili zote mpatie yeye asomeeeee weee mpaka apate jibu. Akipenda anaweza akampatia jamaa yake copy nyingine asome ili ajue kumbe tabia yake inakera na ililetwa kenye bunge la wana-JF kujadiliwa.
 
thank you ntafanya hivyo ndo maana niliomba mawazo ya watu wengi, mimi mwenyewe kama rafiki yananitia hasira ndo maana niliona naweza kumpa jibu lisilo bora.
 
cjui kama Mamushka nimekupata vizuri, kwamba ishu ya huyu kaka ni macfa,hana la kuongea zaidi kujicfia...cjui kama nimekuelewa.

Issue ya huyu kaka hana siri na majisifa kila jambo lazima aliongee ,,inaboa sana
 
Mh hafai huyo jamaa, siku akikumega ukijamba tu basi mtaa mzima atasimulia karaha ya nini bibie mkimbie huyoo hahahahahahah
 
mbona sioni tatizo la huyo jamaa..he is just a big mouth buddy.. mie nilizani ana-mademu kumi kila siku anamfumania halali nyumbani..hiyo kuongea na kujisifia ni kipaji cha mtu wake... na ashukuru jamaa muongeaji...wapo wengine hawaongei kimya-kimya ila actions zao mpaka unajuta kumfaahamu....

kingine nahisi jamaa anamzimia sana huyo demu kiasi kila kitu anachomfanyia lazma awa-ringishie washkaji zake.... mwambie hoyo shosti wako silaha pekee ya ku-mcontroll huyo mbwiga wake ni ku-mpimia penzi na kumpa-ushirikiano wa kupima..akiropoka tu kwa watu jana tulifanya 1,2,3 ...penzi wiki nzima hakuna penzi wala maluv-davi akajitafutie wa bei nafuu kona baa....

kingine nahisi huyo jamaa "umri mdogo" unamsumbua.... na may b ni aina ya makabila yetu haya-anshomile mpaka fomu fooo... wanaji-proud vibaya sanaaa...amwelewe tuu.

who cries?
 
looh rose hapo umechukua hatua kali mno, huyo inawezekana ni utoto tu akikua atatulia huyo amvumilie tu
hahah haah sawa bwana!!!!!!!
lakin kumbuka kuna tabia znazoendana na umri na kuna tabia ambazo ndo HULKA YA MTU..
anachokifanaya uyu bwana si tabia ya akikua ataacha ndo hulka yake ilivyoo...km katika kabila letu sisi kuanzia mtoto n'gaa kazaliwa leo mpk mbabu wa miaka wote ni mafagio kwwa kwenda mbele..yan ni kujisifia tu mpk ukikaa nao unajihisi wew u mpangaji apa dunian wao ndo wamiliki wa dunia na yote yaliyomo.......
 
sasa uyo bnt amnasubiri nin?
masifa wanaboa bora ata ukae na m,anyigu ndan yakuume utapona lakin masifa boy dah ...mbaya sana
ajiandae kutolewa habar za ktandan pia uenda ashazmwaga sema ao marafiki tu wanamwonea aibu kumwambia
--wakioana apoa ajiandae ata akiacha ela ya matembele home ataenda kutangaza ma wife daily anakula baga za steers...AMKIMBIZE--
--no one z pafect lakin uyo mhh mtu si makosa aliyonayo ni manyanyaso zaid alyonayo
--afu hana heshma wala utu ..kitu cah hsptali nacho mpk ukatangaze....sasa nini maana ya bf?????ata km ni rafiki wa kawaida tu akikusaidia akatangaza utajiskiaje?????
AMKIMBZE

..Rose, mi nilikuwa nasubiri ushauri wa nmna hii. Bado hamjaoana jamaa ni Bingwa wa kutangaza mambo yenu, mkiishaona si ndio atakuwa Champion kabisa na wewe huna la kufanya maana umeishajiingiza kwenye ndoa. Huyo binti anapaswa kumshukuru Mungu kwamba amemuonyesha kasoro hizi kabla hawajaoana. Huyo si wake. Atakapopata wake aliyepangiwa na Mungu hatamfuata rafiki yake kumuomba ushauri na rafiki yake akaja JF kutuomba ushauri...! Yeah, Amtoe balu.. Mwanaume hatakiwi kuwa na mdomo debe namna hiyo.

kama issue ya hospital anaiongea kila siku yani hata wakitofautiana kidogo anaanza kumwambia kumbuka ulivokua unamwa nakupeleka hospital nani mwanaume gani angeacha mambo yake akusindikize hujui tu mwanaume kama mimi adimu, halafu watu wote wa maana anasema rafiki zake, mi mwenyewe ananiudhi sana anamasimango sana.

sasa anasubiri nin kumkimbiza?au ndo ivo ashaambiwa wanaume km yeye ni adimu sana?
kweli adimu ..wa sampuli iyo adimu tena adimu sana kuwapata.....(wa mafagio)
 
..Rose, mi nilikuwa nasubiri ushauri wa nmna hii. Bado hamjaoana jamaa ni Bingwa wa kutangaza mambo yenu, mkiishaona si ndio atakuwa Champion kabisa na wewe huna la kufanya maana umeishajiingiza kwenye ndoa. Huyo binti anapaswa kumshukuru Mungu kwamba amemuonyesha kasoro hizi kabla hawajaoana. Huyo si wake. Atakapopata wake aliyepangiwa na Mungu hatamfuata rafiki yake kumuomba ushauri na rafiki yake akaja JF kutuomba ushauri...! Yeah, Amtoe balu.. Mwanaume hatakiwi kuwa na mdomo debe namna hiyo.

yaan ndg ayangu acha tu
uyu ata akinunua unga wa sembe ndan ni gumzo...kwenu hakuna ata unga..njaa tuu...dah mio siwez...ningemvumulia km hana ela lakin nisingemvumilia ata kwa dk 0 km mafagio+dharau zpo juu ivi..KWANINI UJISABMIT KWA MTU AMBAYE ANAKUONA WEWE NI TAMBALA ..kitunguu,kokroach...yaan sjui anakuonaje+na ayo matangazo yake km ya kampen dahh ningemkmbza na kishung cha moto km mwenge nakwambia..
 
sasa anasubiri nin kumkimbiza?au ndo ivo ashaambiwa wanaume km yeye ni adimu sana?
kweli adimu ..wa sampuli iyo adimu tena adimu sana kuwapata.....(wa mafagio)

hili fagio nadhani litakuwa lile la chelewa!!!!!!
 
Habari zenu wana JF, Napenda kuomba msaada wenu wa mawazo ili na mimi nipate ushauri wenye hekima. Nina rafikiangu alipata mchumba wakati yule kaka anamuomba dada huyo awe mchumba wake mungu akijalia wawe mke na mume dada alikataa akawa haamini kama nikweli, lakini baada ya huyo kaka kumfwatilia kwa muda mrefu dada akaona the guy was serious akakubali then akamuomba wakapime kaka akakubali wakakutwa salama, mahusiano yameanza mpaka ndugu pandezote mbili wakajua imebaki wazazi kutambulishwa, shida inakuja huyo kaka anaongea sana kupita kiasi yani wakikaa sehem yeye ndo aongee kupingwa hataki, chochote atakachokiona au kufanya lazima aseme, akinunua zawadi ya mchumba wake lazima rafiki wa dada huyo na wa kaka huyo watajua, kunawakati dada huyo aliumwa sana tumbo huyo kaka akamwambia ntakuijia home nikupele hosptl, dada alivopona anakutana na rafiki zake kaka huyo wanampa pole na kumwambia jamaa alitwambia uliumwa na ametumia pesa nyingi sana kukutibisha wakati haikua kweli, dada akanyamaza, akimtoa kwa dinner or lunch lazima dada huyo ataambiwa flani alisema juzu mlikua sehem kwa dinner huezi pata mwanaume anakupa good time hivo, anasahau kunamuda hakua vizuri dada huyo alimsaidia sana bila kulalamika pamoja nakua mwanaume anaumri mkubwa kuzidi msichana, akipata pesanyingi dada anamshauri nunua hata kiwanja jenga punguza kula life anamgombeza anamwambia mi ni msomi sana najua ninacho kifanya kwanza nipe muda ninamambo mengi, anapotea haonekani dada akaamua kuchukua makosa yeye na kumuomba msamaha ili tu abadilike ache kuongea kila kitu pia wapendane na wafanye maendeleo yao kwaajili ya future zao akasema sawa pia ntajirekebisha, baada ya siku dada anataniwa na rafiki wake na wamskaji nasikia ulimlilia jamaa unamuomba msamaha ili mpendane hiyo ika m put down sana huyo dada, na nimsichana anaejiheshi sana na anahofu ya mungu, kaka kaona mambo si mazuri na dada hana mpango tena au kapata matatizo anarudi kuomba msamaha sasa dada huyo kanishirikisha ni mshauri amtimue? Au amvumilie? Anauliza mtu wa hivyo anaweza kuwa mume mwema? Au nikukaribisha maumivu aibu na umaskini kuishi bila maendeleo, mimi nilimwambia aamuombe mungu ampe huyo kaka mtu mwingine ili yeye apewe na mungu mume mwema anaemstahili huyo hamfai na hawezi acha mdomo.wenye mawazo yenye kueleweka nisaidieni tumsaidie kijana mwenzetu jamani.
jifunze kuandika kwa vituo, koma na paragraf... inatia uvivu kusoma

eish...
 
Back
Top Bottom