Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ni lini Marekani haijawahi kuingia vitani? Ni nchi ipi ambayo itakuwa na nguvu alafu isiingie vitani?Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii.
Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
Itawahusu siku mtakapoiona mlangoni. Na haya mautajiri, sina hamuSISI KAMA WATANZANIA WA KAWAIDA HAYO YANATUHUSU NINI?
Sawa mmarekaniNi lini Marekani haijawahi kuingia vitani? Ni nchi ipi ambayo itakuwa na nguvu alafu isiingie vitani?
Ukishakuwa na elimu, Teknolojia na pesa tayari utaitawala Dunia make vyote vinatolewa na Mungu.
Marekani leo ikisema kuwa ichangiwe na Matajiri utashangaa Akounti itakavyojaa mapesa ndani ya dakika chache kwani matajiri wanaimani kuwa anaewalindia utajiri pamoja na maisha ya biashara zao hapa Duniani ni nchi ya Marekani pekee.
Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii.
Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
Hata kama siyo leo, lazima siku moja itaanguka kama zilizotangulia[emoji28][emoji28][emoji28] marekani kuanguka sio leo. Jifariji