Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere.
Hivi karibuni William Ruto rais aliyepitishwa na mahakama kuu ya Kenya na tume tata ya uchaguzi wa Kenya aliandika kwenye ukurusa wake wa Twitter akimuomba mpinzani wake mkuu na mwalimu wake wa siasa Raila Odinga akitaka amwambie ni lini na wapi wakutane ili kuikoa Kenya.
Je, huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa utawala wa kipekee wa Ruto na wenzake? Je tutegemee surprise nyingine this time around? Who will laugh last? Who will bite the bullet? Who will outsmart another?