majid salim dossa
Member
- Nov 22, 2020
- 25
- 6
Wakuu habari zenu poleni na kazi mimi ni kijana wa Kiislam ila nimefuga nywele maana yake na dread kichwani sasa kwa wale ambao wanajua je wenye dread wanaruhusiwa kufunga?
Naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaani nikifunga na hizi nywele kichwani nitakuwa nakaa na njaa tu, bado sijaridhika na majibu yao ndio maana nimeleta hapa
Naombeni mnifafanulie