Je, mwenye dread anaruhusiwa kufunga Ramadhani?

Je, mwenye dread anaruhusiwa kufunga Ramadhani?

wakuu habari zenu poleni na kazi mm ni kijana wa kiislam ila nimefuga nywele maan yake na dread kichwani sas kwa wale ambao wanajuwa je wenye dread wanaruhusiwa kufunga naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaan nikifunga na hiz nywele kichwani ntakuwa nakaa na njaa 2 bad sijaridhika na majibu yao ndo maana nimeleta hap naombeni mnifafanulie
Kwa kifupi hapo unaweza funga na hata swala pia unaweza swali, ili hilo jambo la dread lina hukmu yake tofauti, ila ngoja nikijaaliwa nitalihakiki kwa wajuvi wa elimu halafu nitakuletea inshaallah, lakini kumbuka wewe na wengineo funga si nguzo pekee katka uislam, kuna Shahada ambayo ndio nguzo mama na Swala Hija na Zaka, basi tusikae tukisubir Ramadhan ndio tuanze kufanya ibada Ramadhan ikipita tunarejea katika yetu, hii si sawa
tudumu katika ibada bila kuchagua
 
Amri Kiemba mtangazaji wa Clouds Fm ana dread na ni sheikh mzuri tuu huwa hakosi swala pia ni mfungaji mzuri.
 
Mi navyojua sheria ambayo inaondoa maana ya funga ni kula au kunywa
 
Kama ni zako za kuzaliwa hakuna shida ila kama umeongeza nyengine hapo ndo mushkel
wakuu habari zenu poleni na kazi mm ni kijana wa kiislam ila nimefuga nywele maan yake na dread kichwani sas kwa wale ambao wanajuwa je wenye dread wanaruhusiwa kufunga naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaan nikifunga na hiz nywele kichwani ntakuwa nakaa na njaa 2 bad sijaridhika na majibu yao ndo maana nimeleta hap naombeni mnifafanulie
 
wakuu habari zenu poleni na kazi mm ni kijana wa kiislam ila nimefuga nywele maan yake na dread kichwani sas kwa wale ambao wanajuwa je wenye dread wanaruhusiwa kufunga naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaan nikifunga na hiz nywele kichwani ntakuwa nakaa na njaa 2 bad sijaridhika na majibu yao ndo maana nimeleta hap naombeni mnifafanulie
Dini unaifuata upendavyo wewe.Ndio maana uislam wa saudia ni tofauti na ule wa iran,lakini kitabu ni kimoja. Kuna shia, suni na hamadia, kitabu kimoja lakini kila dhehebu linafuata lipendavyo.
 
kufunga ni ibada na katika uislam hakuna dharura yoyote ya kuacha ibada ispokua kwa watu maalum kisheria tu mfano kichaa, msafiri, mgonjwa, mzee Sana, mjamzito, mtoto ambae hajabalehe (mtt anatakiwa aanze kufundishwa taratibu ibada)

Tena miongoni katika hao ambao wameruhusiwa kutokufunga kuna utaratibu wa kulipa funga zao na wengne wanatakiwa kufuturisha.

Ukiwa na nywele nyingi hakikisha wakat wa kwenda kuswali maji yaguse ngozi ya kichwa kwakua hakuna funga bila ibada, lakin pia kama umesuka fumua kwakua ni Haram mtt wa kiume kujifananisha na mtt wa kike na mtt wa kike kujifananisha na mwanaume kimavazi au kivyovyote (siyo katka ramadhan tu ila muda wote)

Lkn pia misikit mingi huwa inatoa mafunzo mengi juu ya Ramadhan kwahiyo ukpata muda unaweza kukaa msktn ukaskiliza ili uwez kujua zaid, mi nimejaribu kueleza machache.
 
duh kwanini haifai,ina maana wakina mama nao hawafungi kwani?
 
Back
Top Bottom