majid salim dossa
Member
- Nov 22, 2020
- 25
- 6
kwahiy haina shida yeyoteUnafunga bila wasiwasi wowote, sababu hizo dread ni nywele zako mwenyewe
wakuu habari zenu poleni na kazi mm ni kijana wa kiislam ila nimefuga nywele maan yake na dread kichwani sas kwa wale ambao wanajuwa je wenye dread wanaruhusiwa kufunga naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaan nikifunga na hiz nywele kichwani ntakuwa nakaa na njaa 2 bad sijaridhika na majibu yao ndo maana nimeleta hap naombeni mnifafanulie

Unaruhusika kufunga na hata kuswali nazo. Muhimu usiwe umeongezea nywele za maiti. Na ziwe safi.wakuu habari zenu poleni na kazi mm ni kijana wa kiislam ila nimefuga nywele maan yake na dread kichwani sas kwa wale ambao wanajuwa je wenye dread wanaruhusiwa kufunga naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaan nikifunga na hiz nywele kichwani ntakuwa nakaa na njaa 2 bad sijaridhika na majibu yao ndo maana nimeleta hap naombeni mnifafanulie
Kwa iyo na yule mfalme seleman wa morogoro nae kafunga?
Dogo viporo vya mikate mikavu iliyochacha mnayoparamia na kubhugia inawafanya mnawakati mgumu chooni nakuwafanya mnakuwa na mtindio wa ubongowakuu habari zenu poleni na kazi mm ni kijana wa kiislam ila nimefuga nywele maan yake na dread kichwani sas kwa wale ambao wanajuwa je wenye dread wanaruhusiwa kufunga naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaan nikifunga na hiz nywele kichwani ntakuwa nakaa na njaa 2 bad sijaridhika na majibu yao ndo maana nimeleta hap naombeni mnifafanulie
Kwa iyo na yule mfalme seleman wa morogoro nae kafunga?
Yule alishakuambia anaabudu mgomba. Naamini kwa imani yake mpya anaruhusiwa kufunga na kufuturu vizuri tu.Kwa iyo na yule mfalme seleman wa morogoro nae kafunga?
wakuu habari zenu poleni na kazi mm ni kijana wa kiislam ila nimefuga nywele maan yake na dread kichwani sas kwa wale ambao wanajuwa je wenye dread wanaruhusiwa kufunga naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaan nikifunga na hiz nywele kichwani ntakuwa nakaa na njaa 2 bad sijaridhika na majibu yao ndo maana nimeleta hap naombeni mnifafanulie
hmn mkuu natafuta uhakikaUnatafuta kichaka cha kuacha kufunga siyo?
Mkuu, huwa unaswali lakini?
hmn mkuu natafuta uhakikaUnatafuta kichaka cha kuacha kufunga siyo?
Unatafuta kichaka cha kuacha kufunga siyo?
shukrani mkuuMimi ni mkristo ila niliona swali kama hili sehemu na jibu lilikuja kwamba inaruhusiwa plus mtume alipata kufunga nywele zake kwa mafungu so siyo kesi kama ni safi
zang mkuuMkuu, ebu fafanua basi, ni nywele za bandia kama za afande sele ama nywele halisi kwa maana zakwako?