ndio demokrasia hiyo, hata mie simkubali Jiwe...simpo tu.Mimi mtanzania simkubali Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio demokrasia hiyo, hata mie simkubali Jiwe...simpo tu.Mimi mtanzania simkubali Lissu
Pesa za wagombea uraisi ubunge na udiwani Chadema toka ianzishwe zilikuwa zikitoka vyanzo viwili miaka yote cha kwanza kutoka kwa mgombea uraisi na wafadhili wake binafsi wa ndani na nje cha pili toka kwenye ruzuku ya chama inakuwaje Leo wagombea ubunge na udiwani ndio waandae mikutano ya mgombea uraisi
Mbowe hajawahi kuwa shabiki wa mtu ambaye siyo mchaga. Tunamjua sana! Ikitokea kama ilivyokuwa kwa Slaa, alifahamu anaongeza kura za ruzuku.Mara ya Mwisho kumsikia Mbowe ni pale Mbagala alipowafokea TBC na kuwatimua mkutanoni siku ya uzinduzi wa kampeni za Chadema.
Sijamsikia tena toka hapo, ni kama vile ana kitu moyoni. Lisu anapambana peke yake huku na huko,.
Kampeni za mwaka huu Mbowe hana raha kabisa,! Hata jimboni kwake bado hajazindua kampeni mpaka leo.
Kuna mawili:
1. UKATA.
Juzi Membe kalalama kwamba wana hali mbaya kifedha huko upinzani, mapesa kutoka nje hayaingii selikali imezuia, marafiki wafanayabishara hawawachangii michango tena.
Kwa hoja hii ya Membe, Lisu anamkamua Mbowe kweli kweli, na kama mjuavyo Lisu ni masikini hana hela tofauti na Lowasa alitoa mabilioni yake pamoja na aliyochangiwa na friends of Lowasa yote yalijaa kwenye fuko la chadema ndio maana Kampeni za wakati ule kipindi kama hiki Mbowe alikuwa na furaha sana na alikuwa tayari ameshazunguka sehemu kubwa ya nchi wakiambatana na Lowasa.
2. AMEKATA TAMAA.
Yawezekana pia Mbowe kaona bora ajikalie kimya kuliko kuhangaika na kitu ambacho matokeo yake ni 0.
Yani wewe fikiria anaesikika ni Lisu peke yake, hata katika majimbo yote ni majimbo hayazidi 5 ambayo wapinzani wanaonesha uhai, kwingine kote ni kama hawapo. Hata lisu akifika kwenye mkutano anajinadi pekeake ni mara chache sana kusikia anawanadi wagombea wake wa ubunge na udiwani.
Kwenye huu uchaguzi Mbowe hajaingiza hata sh. 10 ila zinamtoka tu ndio maana kanuna sana.
Hebu ona furaha akiyokuwa nayo Mbowe enzi za EL kisha linganjsha na wakati huu
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1573232View attachment 1573233
Anachangiwa na nani? HIzo elfu kadhaa utazipigia kampeni kweli?Mimi sijui taratibu za pesa huko cdm, ila ninachojua mgombea wa safari hii ana ridhaa ya wajumbe wa mkutano mkuu, na sisi wapiga debe. Na uzuri huyo mgombea anauzika na anachangiwa chochote kitu huko kwenye mikutano. Hiyo miaka michango ilipokuwa inatoka kwenye hivyo vyanzo, hakukuwa na rais dictator, ila kwa sasa kila mtu mwenye akili timamu anajua hali halisi fullstop.
Anachangiwa na nani? HIzo elfu kadhaa utazipigia kampeni kweli?
Mambo yako hivi. Kwa ujumla CHADEMA ni Chaga empire. Siyo kawaida kwa mchaga kumchangia mtu ambaye siyo mchaga. Hali ni hivyo hata makanisani. Kama mchungaji siyo mchaga, ujue hakuna michango, na sadaka zinapungua sana. Kwa upande huu wa siasa. haitakuwa rahisi Lissu kupata msaada huo toka kambi kubwa ya chama chake; Uchagani. Jiulize kwa nini mwaka huu uchagani hawana bashasha na kampeni za CHADEMA kama miaka mingine? Mgombea siyo wa kwao.
Nyalandu ? Ili afanye nini ? Hamna presidential material paleNafikiri Lisu sio chaguo la DJ, DJ alimtaka Nyarandu. Sasa walio mtaka Lisu wapambane.
hahahahaaaaKama CCM ni Mbuyu basi Lissu ni Nyegere anameshatafuna mizizi yote subirieni anguko kuu lenye mshindo
Mbowe anajutia namna walivyompitisha Loketo kugombea urais, wanakuja kustuka kichwani zero hawawezi kurudi nyumaMara ya Mwisho kumsikia Mbowe ni pale Mbagala alipowafokea TBC na kuwatimua mkutanoni siku ya uzinduzi wa kampeni za Chadema.
Sijamsikia tena toka hapo, ni kama vile ana kitu moyoni. Lisu anapambana peke yake huku na huko,.
Kampeni za mwaka huu Mbowe hana raha kabisa,! Hata jimboni kwake bado hajazindua kampeni mpaka leo.
Kuna mawili:
1. UKATA.
Juzi Membe kalalama kwamba wana hali mbaya kifedha huko upinzani, mapesa kutoka nje hayaingii selikali imezuia, marafiki wafanayabishara hawawachangii michango tena.
Kwa hoja hii ya Membe, Lisu anamkamua Mbowe kweli kweli, na kama mjuavyo Lisu ni masikini hana hela tofauti na Lowasa alitoa mabilioni yake pamoja na aliyochangiwa na friends of Lowasa yote yalijaa kwenye fuko la chadema ndio maana Kampeni za wakati ule kipindi kama hiki Mbowe alikuwa na furaha sana na alikuwa tayari ameshazunguka sehemu kubwa ya nchi wakiambatana na Lowasa.
2. AMEKATA TAMAA.
Yawezekana pia Mbowe kaona bora ajikalie kimya kuliko kuhangaika na kitu ambacho matokeo yake ni 0.
Yani wewe fikiria anaesikika ni Lisu peke yake, hata katika majimbo yote ni majimbo hayazidi 5 ambayo wapinzani wanaonesha uhai, kwingine kote ni kama hawapo. Hata lisu akifika kwenye mkutano anajinadi pekeake ni mara chache sana kusikia anawanadi wagombea wake wa ubunge na udiwani.
Kwenye huu uchaguzi Mbowe hajaingiza hata sh. 10 ila zinamtoka tu ndio maana kanuna sana.
Hebu ona furaha akiyokuwa nayo Mbowe enzi za EL kisha linganjsha na wakati huu
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1573232View attachment 1573233
Unainaje nyomi alilokuwa anakusanya mtu asiejua kuongea na hili analokusanya huyu muongeaji?
mbona Mangula haonekani kwenye kampeni za Magufuli? amesusa?Mara ya Mwisho kumsikia Mbowe ni pale Mbagala alipowafokea TBC na kuwatimua mkutanoni siku ya uzinduzi wa kampeni za Chadema.
Sijamsikia tena toka hapo, ni kama vile ana kitu moyoni. Lisu anapambana peke yake huku na huko,.
Kampeni za mwaka huu Mbowe hana raha kabisa,! Hata jimboni kwake bado hajazindua kampeni mpaka leo.
Kuna mawili:
1. UKATA.
Juzi Membe kalalama kwamba wana hali mbaya kifedha huko upinzani, mapesa kutoka nje hayaingii selikali imezuia, marafiki wafanayabishara hawawachangii michango tena.
Kwa hoja hii ya Membe, Lisu anamkamua Mbowe kweli kweli, na kama mjuavyo Lisu ni masikini hana hela tofauti na Lowasa alitoa mabilioni yake pamoja na aliyochangiwa na friends of Lowasa yote yalijaa kwenye fuko la chadema ndio maana Kampeni za wakati ule kipindi kama hiki Mbowe alikuwa na furaha sana na alikuwa tayari ameshazunguka sehemu kubwa ya nchi wakiambatana na Lowasa.
2. AMEKATA TAMAA.
Yawezekana pia Mbowe kaona bora ajikalie kimya kuliko kuhangaika na kitu ambacho matokeo yake ni 0.
Yani wewe fikiria anaesikika ni Lisu peke yake, hata katika majimbo yote ni majimbo hayazidi 5 ambayo wapinzani wanaonesha uhai, kwingine kote ni kama hawapo. Hata lisu akifika kwenye mkutano anajinadi pekeake ni mara chache sana kusikia anawanadi wagombea wake wa ubunge na udiwani.
Kwenye huu uchaguzi Mbowe hajaingiza hata sh. 10 ila zinamtoka tu ndio maana kanuna sana.
Hebu ona furaha akiyokuwa nayo Mbowe enzi za EL kisha linganjsha na wakati huu
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1573232View attachment 1573233
Msimu huu ni mvua kidogo hivyo kutakuwa na njaa!
Bila shaka Lisu atapata kura kidogo kuliko Lowasa
Hapo nmekupata
Hujui kwamba support ya Slaa iliongeza ruzuku? Lissu hataongeza chochote kwenye mfuko wa mwenye chama.Tumuache Lowasa maana yeye alikuwa na hela za wizi japo sio mchaga. Slaa alikuwa mchaga? Jibu hili kwanza ili tuendelee na mjadala.
Wanaoweza kumwita Lowasa tapeli ni CCM maana alianzia humo. Kama CHADEMA wakisema Lowasa ni tapeli, ni sawa na kusema CDM ni bwege! Maana walishamuona ktk siasa za CCM kwa miaka mingi, hadi kumchukuwa kwa ghafla na kumuacha Silaa pembeni shida ilikuwa ni nini? Pesa? Au akili ndogo?Kama watu 6m+ kwa mujibu wa tume ndio walimpigia Lowassa tapeli la kisiasa, kuna uwezekano gani kura hizo kushuka sasa kwa mpinzani wa ukweli? Kama ni kushuka basi itakuwa ni kwa wote fullstop.
Umesema kipindi kile kilikuwa cha mvua ndio maana Lowasa alipata kura milion 6
Sasa kipindi hiki ni cha ukame Lisu atapata kura chini ya milion 3
Wanaoweza kumwita Lowasa tapeli ni CCM maana alianzia humo. Kama CHADEMA wakisema Lowasa ni tapeli, ni sawa na kusema CDM ni bwege! Maana walishamuona ktk siasa za CCM kwa miaka mingi, hadi kumchukuwa kwa ghafla na kumuacha Silaa pembeni shida ilikuwa ni nini? Pesa? Au akili ndogo?