Uchaguzi 2020 Je, Mwenyekiti Mbowe amemsusia Lissu kampeni?


Mimi sijui taratibu za pesa huko cdm, ila ninachojua mgombea wa safari hii ana ridhaa ya wajumbe wa mkutano mkuu, na sisi wapiga debe. Na uzuri huyo mgombea anauzika na anachangiwa chochote kitu huko kwenye mikutano. Hiyo miaka michango ilipokuwa inatoka kwenye hivyo vyanzo, hakukuwa na rais dictator, ila kwa sasa kila mtu mwenye akili timamu anajua hali halisi fullstop.
 
Mbowe hajawahi kuwa shabiki wa mtu ambaye siyo mchaga. Tunamjua sana! Ikitokea kama ilivyokuwa kwa Slaa, alifahamu anaongeza kura za ruzuku.
 
Lissu alichangisha mamilioni ya dola huko kwa mabeberu kwa minajili ya kugombea urais kwa kutumia mgongo wa chama
Pesa zimeingia kwenye akaunti binafsi ya lissu,mbowe anauliza pesa vipi lissu kauchuna za, na mbowe kagoma kutoa pesa ya chama kwa ajili ya kampeni
Hapa ni dhahiri lissu amestuka ameona bora ajiwekee akiba maana anajua hatashinda,na Mbowe nae hayupo tayari kutupa pesa ya chama kwa mgombea asie na uhakika wa ushindi
 
Anachangiwa na nani? HIzo elfu kadhaa utazipigia kampeni kweli?
Mambo yako hivi. Kwa ujumla CHADEMA ni Chaga empire. Siyo kawaida kwa mchaga kumchangia mtu ambaye siyo mchaga. Hali ni hivyo hata makanisani. Kama mchungaji siyo mchaga, ujue hakuna michango, na sadaka zinapungua sana. Kwa upande huu wa siasa. haitakuwa rahisi Lissu kupata msaada huo toka kambi kubwa ya chama chake; Uchagani. Jiulize kwa nini mwaka huu uchagani hawana bashasha na kampeni za CHADEMA kama miaka mingine? Mgombea siyo wa kwao.
 

Tumuache Lowasa maana yeye alikuwa na hela za wizi japo sio mchaga. Slaa alikuwa mchaga? Jibu hili kwanza ili tuendelee na mjadala.
 
Hata wewe unapaswa usiwe na furaha kwa kuwa umeandika visivyojulikana
 
Mbowe anajutia namna walivyompitisha Loketo kugombea urais, wanakuja kustuka kichwani zero hawawezi kurudi nyuma
 
Unainaje nyomi alilokuwa anakusanya mtu asiejua kuongea na hili analokusanya huyu muongeaji?

Sina kipimo cha nyomi ili nijue tofauti, ninachoangalia sio nyomi maana nimeruka vipimo hivyo vya kichovu, bali naangalia uwezo na usahihi wa mgombea. Isitoshe mazingira ya wakati ule na sasa ya kisiasa ni tofauti. Wakati ule demokrasia ilikuwa inaridhisha, vyombo vya habari vilikuwa na uhuru wa kuridhisha pia. Leo hii ukiachia mitandao ya kijamii, ni wapi wapinzani wanapewa airtime ya kutosha? Umeona hii hofu waliyonayo vyombo vya habari? Isitoshe hali za wananchi kiuchumi kwa sasa ni tofauti sana na wakati ule.

Hiki unachokifananisha sasa ni sawa sawa na mtu kufananisha mavuno ya msimu ambao mvua zilikuwa za kutosha, na msimu wenye mvua kidogo. Kwa maneno marahisi hujui siasa ndio maana unatumia mifano isiyoendana na hali halisi. Kama unajua siasa niambie baada ya uchaguzi wa 2010-2015 cdm ilitembea nchi nzima kiasi gani kufanya kazi cha chama cha siasa, linganisha na siasa za 2015-2020, ambapo hakukuwa na ruhusa ya vyama vya siasa ukiacha ccm kufanya siasa nchi nzima. Kundi la watu wasiojulikana kugeuka ndio wawakilishi wa ccm kwenye siasa, mpaka yakamkuta Lisu yaliyomkuta nk. Hizi ni baadhi tu ya changamoto za siasa za wakati huu.
 
mbona Mangula haonekani kwenye kampeni za Magufuli? amesusa?
 
Msimu huu ni mvua kidogo hivyo kutakuwa na njaa!

Bila shaka Lisu atapata kura kidogo kuliko Lowasa

Hapo nmekupata

Kama watu 6m+ kwa mujibu wa tume ndio walimpigia Lowassa tapeli la kisiasa, kuna uwezekano gani kura hizo kushuka sasa kwa mpinzani wa ukweli? Kama ni kushuka basi itakuwa ni kwa wote fullstop.
 
..mbowe, mnyika, na viongozi wengine, kutokuwepo ktk timu ya kampeni ya mgombea Uraisi, kunatoa muda mwingi zaidi kwa mgombea uraisi na wagombea ubunge kuzungumza na wananchi.

..binafsi napenda jinsi TL anavyopata muda wa kutosha kuinadi ilani ya chadema, pamoja na wagombea wa chama ktk nafasi mbalimbali.
 
Tumuache Lowasa maana yeye alikuwa na hela za wizi japo sio mchaga. Slaa alikuwa mchaga? Jibu hili kwanza ili tuendelee na mjadala.
Hujui kwamba support ya Slaa iliongeza ruzuku? Lissu hataongeza chochote kwenye mfuko wa mwenye chama.
 
Kama watu 6m+ kwa mujibu wa tume ndio walimpigia Lowassa tapeli la kisiasa, kuna uwezekano gani kura hizo kushuka sasa kwa mpinzani wa ukweli? Kama ni kushuka basi itakuwa ni kwa wote fullstop.
Wanaoweza kumwita Lowasa tapeli ni CCM maana alianzia humo. Kama CHADEMA wakisema Lowasa ni tapeli, ni sawa na kusema CDM ni bwege! Maana walishamuona ktk siasa za CCM kwa miaka mingi, hadi kumchukuwa kwa ghafla na kumuacha Silaa pembeni shida ilikuwa ni nini? Pesa? Au akili ndogo?
 
Umesema kipindi kile kilikuwa cha mvua ndio maana Lowasa alipata kura milion 6

Sasa kipindi hiki ni cha ukame Lisu atapata kura chini ya milion 3

Ni kweli kabisa, maana Magufuli atapata 2.5 kisha tume watamjazia kwenye ile figure ya kupika ya wapiga kura
 

Unadhani kila mtu aliridhika na ujio wa huyo tapeli ndani ya Cdm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…