T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 856 Reaction score 145 Jun 8, 2013 #1 Kila ninapowagusa watu wanasema nawapiga shoti kama ya umeme.....tatizo ni nini madaktari?mpaka naandika hii habari watu wengi wananilalamikia nawapiga shoti!tatizo ni nini?
Kila ninapowagusa watu wanasema nawapiga shoti kama ya umeme.....tatizo ni nini madaktari?mpaka naandika hii habari watu wengi wananilalamikia nawapiga shoti!tatizo ni nini?