Je mwili wa binadamu unapiga shoti?

Je mwili wa binadamu unapiga shoti?

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
Kila ninapowagusa watu wanasema nawapiga shoti kama ya umeme.....tatizo ni nini madaktari?mpaka naandika hii habari watu wengi wananilalamikia nawapiga shoti!tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom