Je,mwimbaji "rusha roho" YUPI WA KIKE unayemfagilia kwa kazi yake? Wangu huyu hapa...

Je,mwimbaji "rusha roho" YUPI WA KIKE unayemfagilia kwa kazi yake? Wangu huyu hapa...

isha mashauzi

ila kwa taarabu kwa maana ya taarabu Patricia Hilary
 
Mwana fa. na yalaiti napenda pasi kificho . . . . Aa kumbe wa ke ni bi kidude.
 
Me bwana alikuwa Marehemu Husna Mapande wa 5Star Modern Taarab.
yaani alikuwa anankoshaga sana.
R.I.P Mamaaa Husna dah!!
 
kinyago cha mpapure....nyamaza nikusitiri....taarabu zinanogaga saa zingine....
 
isha mashauzi

ila kwa taarabu kwa maana ya taarabu Patricia Hilary

Asante Konnie... Ndiyo maana nikaweka rusha roho... Mi kwa taarab,ni huyo Patricia Hillary pia..(kina mama)
 
Me bwana alikuwa Marehemu Husna Mapande wa 5Star Modern Taarab.
yaani alikuwa anankoshaga sana.
R.I.P Mamaaa Husna dah!!

Kuna Rukia Yusuf wa enzi za kina Mwanamtama Ally,Zuhura Shaaban,Mwanahawa Ally...
 
Mmenikuna.
Mkodombwe utajijua,
lako hilo utaling'amua,
naona umechanganyikiwa,
si bure unalako neno likurushalo roho,
utalitambuaaa!!!

Da aisee!! Taarabu ni noumer. Madame B
 
Last edited by a moderator:
Mmenikuna.
Mkodombwe utajijua,
lako hilo utaling'amua,
naona umechanganyikiwa,
si bure unalako neno likurushalo roho,
utalitambuaaa!!!

Da aisee!! Taarabu ni noumer. Madame B

Ilikuwa ya ukweli hiyo... Sana tu..

Huyo nani kwani ... Malkia wa Mipasho...au..
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa ya ukweli hiyo... Sana tu..

Huyo nani kwani ... Malkia wa Mipasho...au..

Hata sio malkia wa Mipasho,
namkumbuka ila jina kidogo limenitoka gambachovu ila kundi ni E.A Melody Taarab.
Yani ilikuwa nyimbo hyo ikipigwa,ujue baadae nyimbo ikiisha lazima zifumuke ngumi.

Ndo raha ya taarab,mbea anajisuta mwenyewe.

Asante gambachovu dah!
 
Dah Madame B umenikumbusha mbali kweli!

Huyo alikuwa Zuhura Shaaban,au Zuhura Yusuf... Si mama fulani anavaa miwani hivi? Kundi umenikumbusha,ni E.A.Melody..

Je,unaikumbuka hii?
nafanya hesabuu
sipati jawabuu*2
mchezo gani huoo
wa kurudi nyuma huoo
wa kuruka ukuta huoo...!

Umebeba begii
umekuwa rogii
watafuta tendaa
watafuta buuzi!

Ah wacha hiyo kitu.. Enzi hizo niko Zenj kikazi.. Weh.. Utantaka!

Thank you sana Madame B
 
Acha bwana,acha wewe,
Taarabu kichwa, segere,mnanda,zuku,kwaito,cjui bongo fleva hzo swaga tu,
Taarabu ndo baba lao.

Naikumbuka hyo nyimbo ila nilikuwa bado ki-mwali bwana.

Unaikumbuka hii:
Akinambia kushoto,nampelekeaaa.,
Akinambia kulia,nampelekeaa..,
Akinambia geuka,namgeuziaaa..,
Akinambia katika,namkatikiaa..,
Akinambia yatosha,ninamsusia
Akinaambia kukuruka,nakukuruka weeee...mpaka Bac!!!

Asante mwana, utamu huko hapa wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mi bwana Baikoko! (kama nayo inatambulika kwenye kundi hili)
mtanisamehe waimbaji wake majina siyajui !
Kule na'mind Miuno !
Mtu anakatika kumzidi Funza wa chooni ! Khaaa! Naskiaga-laa- mpaa-looni !
 
Madame B we mkaree...

Je,ile sijui ya nani..

Kwako alale mbili
na kwangu alale mbiili..
Ukizidisha siku mooja
cha moto utakioonaa

nadhani Mwanahawa Ally.. Huyu bibi ni kiboko ya njia kwa Mipasho..
 
Last edited by a moderator:
Mi bwana Baikoko! (kama nayo inatambulika kwenye kundi hili)
mtanisamehe waimbaji wake majina siyajui !
Kule na'mind Miuno !
Mtu anakatika kumzidi Funza wa chooni ! Khaaa! Naskiaga-laa- mpaa-looni !

Jana kuna clip ya kama nusu saa nimeiona.. Pembeni kuna ki-hiace kimeandikwa Mikanjuni-Raskazoni...
Halafu ni shughulini.. Ndiyo mnanda wa Baikoko sijui Barikoko unapigwa..
Walah sikuamini niliyoyaona!
Kuna bidada alivua hadi chup* yake! Tena anamwambia wa kamera aje amshuti wala ye hajali..! Wengine wanakata mauno kama wako kwenye 6 kwa 6..
 
Back
Top Bottom