gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
Isha "Mashauzi" Ramadhani...
Weweje...?
Weweje...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
isha mashauzi
ila kwa taarabu kwa maana ya taarabu Patricia Hilary
Me bwana alikuwa Marehemu Husna Mapande wa 5Star Modern Taarab.
yaani alikuwa anankoshaga sana.
R.I.P Mamaaa Husna dah!!
Mmenikuna.
Mkodombwe utajijua,
lako hilo utaling'amua,
naona umechanganyikiwa,
si bure unalako neno likurushalo roho,
utalitambuaaa!!!
Da aisee!! Taarabu ni noumer. Madame B
Ilikuwa ya ukweli hiyo... Sana tu..
Huyo nani kwani ... Malkia wa Mipasho...au..
Hata sio malkia wa Mipasho,
namkumbuka ila jina kidogo limenitoka gambachovu ila kundi ni E.A Melody Taarab.
Yani ilikuwa nyimbo hyo ikipigwa,ujue baadae nyimbo ikiisha lazima zifumuke ngumi.
Ndo raha ya taarab,mbea anajisuta mwenyewe.
Asante gambachovu dah!
Dah Madame B umenikumbusha mbali kweli!
Huyo alikuwa Zuhura Shaaban,au Zuhura Yusuf... Si mama fulani anavaa miwani hivi? Kundi umenikumbusha,ni E.A.Melody..
Je,unaikumbuka hii?
nafanya hesabuu
sipati jawabuu*2
mchezo gani huoo
wa kurudi nyuma huoo
wa kuruka ukuta huoo...!
Umebeba begii
umekuwa rogii
watafuta tendaa
watafuta buuzi!
Ah wacha hiyo kitu.. Enzi hizo niko Zenj kikazi.. Weh.. Utantaka!
Thank you sana Madame B
Mi bwana Baikoko! (kama nayo inatambulika kwenye kundi hili)
mtanisamehe waimbaji wake majina siyajui !
Kule na'mind Miuno !
Mtu anakatika kumzidi Funza wa chooni ! Khaaa! Naskiaga-laa- mpaa-looni !
Isha "Mashauzi" Ramadhani...
Weweje...?