Je, mwisho wa wana mgambo wa Houthi nchini Yemen unakaribia..?

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Yemen na Houthis waripotiwa katika majimbo 3.

Jeshi la Yemen lilitangaza Jumamosi jioni kwamba vikosi vyake vilipambana na wapiganaji wa Houthi katika majimbo matatu nchini Yemen katika muda wa saa 24 zilizopita.

Kwa mujibu wa tovuti ya Wizara ya Ulinzi ya Septemba Net, mapigano hayo yalizuka katika muda wa saa 24 zilizopita "kufuatia mashambulizi ya Wahouthi kwenye maeneo ya jeshi katika majimbo" ya Marib katikati mwa Yemen, Al-Jawf kaskazini mwa Yemen, na Taiz kusini magharibi mwa Yemen.

Haya mambo yamejaa kila aina ya mkanganyiko. Sio kwamba Houthi ndio wanatawala Yemen? If not, ni rais wa Yemen ni nani? Kwa chama, kundi, au muungano upi?

Au ndio kama yale ya Lebanon - Hezbollah na Serikali? Huko Yemen serikali haisikiki kabisa!
 
Mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Yemen na Houthis waripotiwa katika majimbo 3.

Jeshi la Yemen lilitangaza Jumamosi jioni kwamba vikosi vyake vilipambana na wapiganaji wa Houthi katika majimbo matatu nchini Yemen katika muda wa saa 24 zilizopita.

Kwa mujibu wa tovuti ya Wizara ya Ulinzi ya Septemba Net, mapigano hayo yalizuka katika muda wa saa 24 zilizopita "kufuatia mashambulizi ya Wahouthi kwenye maeneo ya jeshi katika majimbo" ya Marib katikati mwa Yemen, Al-Jawf kaskazini mwa Yemen, na Taiz kusini magharibi mwa Yemen.

Hio ni serekali ya Saud Arabia labda, wataishia kumalizwa tu. Yemen serejali yao ipo Sanaa sio Riyadhi hahahaha
 
Mi ningewamwagia mvua y sumu ya Panya wafe wote, na huko mapangoni ninge pulizia sumu wafie huko huko ardhini. Binadamu anayetafuta kifo muda wote kwanini kumlea?
 
Usikute waarabu michezo ya kuuana kwao ni moja kati ya burudani, yaani kama ngoma za makabila yetu zamani; kwamba watu wakimaliza KUVUNA mazao yao, walikua wanacheza ngoma kijiji kwa kijiji hadi msimu wa mvua utakapo anza; ndio waarabu sasa, yaani wao bila michezo ya kuuana hawaoni kama nchi ina vibe. Hadi sasa bado tuna amini kwamba uislam ulitoka kwa Mungu? Binafsi siamini
 
Mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Yemen na Houthis waripotiwa katika majimbo 3.

Jeshi la Yemen lilitangaza Jumamosi jioni kwamba vikosi vyake vilipambana na wapiganaji wa Houthi katika majimbo matatu nchini Yemen katika muda wa saa 24 zilizopita.

Kwa mujibu wa tovuti ya Wizara ya Ulinzi ya Septemba Net, mapigano hayo yalizuka katika muda wa saa 24 zilizopita "kufuatia mashambulizi ya Wahouthi kwenye maeneo ya jeshi katika majimbo" ya Marib katikati mwa Yemen, Al-Jawf kaskazini mwa Yemen, na Taiz kusini magharibi mwa Yemen.

Naona kwa mtizamo wangu; nchi ya Yemen imejifunza kitu kutoka Gaza na Lebanon. Haya makundi ya kivita chini ya mwamvuli wa udini yanaziletea nchi balaa. Kwa mfano HAMAS wamesababisha balaa kubwa kwa wananchi na Serikali ya Palestina. Hezbollah wamesababisha balaa kubwa mno kwa wananchi na Serikali ya Lebanon. Mbaya zaidi; haya makundi hayana msaada wowote kwa wananchi na Serikali za nchi ambako wapo inapotokea mapigano ya kimkakati e.g. mashambulizi ya anga yanayofanywa na IDF. Badala yake eti wanawashikilia raia na kuwageuza ndo ngao kwenye mapigano.
Yemen majuzi hapo ilitwangwa na USA na kana kwamba hilo halikutosha IDF nayo ikasambaratisha bandari, miundombinu ya kuzalisha umeme na visima vya mafuta. Madhara hayo yanaikumba nchi ya Yemen kwani Houth hawana msaada wowote kwa nchi ya Yemen ila kazi yao ni kurusha maroketi, missiles na drones kwa Israel. Majibu ya uchokozi na ukorofi huo yanaipata nchi ya Yemen. Wananchi wa yemen na Serikali yao halali ndo wanapata madhara, madhila na hata vifo. Wahouth hawaangalii hilo inakuwa kana kwamba haliwahusu ilhali wao ndo kisababishi.
Kwa hiyo Yemen imepata uzoefu wa madhara yatokanayo na kuyakumbatia makundi ya aina hiyo. Nchi ya Yemen Imefika mahali na imesema BAAS inatosha. Kama waHouth wanataka kuendeleza mapigano yao dhidi ya Israel, basi wakatafute nchi ya wajinga wenzao iwe ndo mahali (base) pa kurushia hayo makombora yao na uchokozi wanaoutafuta ikiwa ni pamoja na kuzuia usafiri baharini.
 
Hiiii mawazo yako lkn WAYEMEN kila ijumaaa wanaandamana kuunga mkono Palestina so serikali na wananchi wapo pamoja. Watakaopigana ni kutoka kusini ya Yemen ambao walipigana pia miaka ile lkn Baadae anawafadhil awa wajeja ni Saudi Arabia yenyewe ikoomba poooo.
 
Umepata habari kuhusu USA na IAF walichokifanya majuzi kati hapo? Sikuona ni kwa namna gani Saudi ilihusika, lakini anayetafutwa hapo ni mHouth. Hoja yangu imejikita kwenye uharibifu na maafa kwa wananchi na miundombinu ya kijamii kutokana na vita/mapigano iwe ni ndani au kutoka nje ya nchi
 
Jeshi la Yemen wakishindwa kuwaondoa Houth safar hii basi wasahau
Jeshi la Yemen + IDF + USA + (back-up ya Saudi) ndo hitimisho la mHouth.
Wenzake walikuwa wanalia "anaua wanawake na watoto...." Huyu Mhuti cjui ataliaje yan.
 
Baada ya miezi 2 kuanzia tarehe 21 mwezi huu watakuwa ni historia
 
Back
Top Bottom