Je, mwisho wa wana mgambo wa Houthi nchini Yemen unakaribia..?

Je, mwisho wa wana mgambo wa Houthi nchini Yemen unakaribia..?

Mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Yemen na Houthis waripotiwa katika majimbo 3.

Jeshi la Yemen lilitangaza Jumamosi jioni kwamba vikosi vyake vilipambana na wapiganaji wa Houthi katika majimbo matatu nchini Yemen katika muda wa saa 24 zilizopita.

Kwa mujibu wa tovuti ya Wizara ya Ulinzi ya Septemba Net, mapigano hayo yalizuka katika muda wa saa 24 zilizopita "kufuatia mashambulizi ya Wahouthi kwenye maeneo ya jeshi katika majimbo" ya Marib katikati mwa Yemen, Al-Jawf kaskazini mwa Yemen, na Taiz kusini magharibi mwa Yemen.

Ritz Webabu Sir John Roberts Malaria 2 njooni tuangalie hapa inakuwaje na tutoe tamko maana hali inazidi kuwa tete. Tulitegemea Irani naona wamefyta mkia. Tukategemea Hamas nao the same wamechapwa. Hizbullah wanapokea kipondo, Syria mpaka Assad amekimbia nchi. Houthis nao wanachapwa na Yemeni. Yaani ni TAFRAN MASHEIKH ZANGU MOJA HAISIMAMI MBILI HAIKAI. NI KIPIGO MBELE NA NYUMA.... NAUMIA SANA. TULIJITAHIDI SANA HUMU NDANI LAKINI WENZETU WANATUANGUSHA. HASA RITZ NAONA MPAKA UMEKATA TAMAA
 
Mhh! Na wewe ujitulize tu kwaani wenzako wamebaini na kuzingatia: "La kuvunda halina ubani" Wamejichokea choki. Huyu mHouth atafinywa mpaka aseme baasi kwani hakuna aliyebaki ambaye walau atamwambia pole ya kumliwaza japokuwa kinafk.
 
Back
Top Bottom